Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, leo amefanya intavyuu na gazeti pamoja na tovuti ya Daily News kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar. Muone na msikilize kwa kubofya tovuti ya Daily News hapa: www.dailynews-tsn.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2008

    Safi TSN kwa kazi bomba ila mlikurupushwa nini kwani sehemu aliyokaa mheshimiwa inahitaji urembo japo kameza ka kimakonde!! kutangaza utariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii au vinyago kwa saaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnaaaaaaaa!!

    wajameni nafasi ni ukuta....tutumie nafasi hizi!

    vinginevyo watani watatupiga bao la kisigino

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...