Napenda kuwatangazia wadau wote wa blogu hii pendwa kwamba baada ya kuishi maisha ya ukimbizi kwa kipindi kirefu hatimaye nimeamua kusalimu amri na kurudi kwetu kwa Jakaya.
Ila ndugu wadau ninaingia nyumbani kama mfanyabiashara ambapo nitakuwa nikiuza Computers hasa laptops na vifaa mbalimbali vya Computer kutoka huku Afrika ya kusini, pia nitakuwa ninauza simu za kisasa kabisa kwa wale watakaoniagiza kuwaletea.
Natarajia kuingia Tanzania hivi karibuni kwa mtu yeyote mwenye order anaweza kunitumia katika email yangu hii
au namba ya simu ya hapa bondeni
+27780664196
Yaani ni kiasi cha kubip ama kutuma ujumbe yaani sms neno ''computer'' nami nitakupigia na tutaongea vizuri kuhusu biashara. Nawatakia siku njema wadau wote.


Naomba utuletee nguo za akina mama na vipodozi mimi binafsi nahitaji na nitapendelea kununua kutoka kwako if genuine stuff ila computers hapana, sorry if this is not the responce you'd anticipated
ReplyDeletethanks
hi bibi umeme nimeona unahitaji nguo za akina mama na vipodozi mimi niko hapa uk, nina mpango wa kufungua designer botique,hapo dar ambapo nitauza pamoja na vipodozi, vikiwemo olay,elizabeth arden,ester lauder,no 7,avon,marks spencer autograph na nguo zikiwepo tommy Hilfiger,olly london,marks&Spencer,hm,polo,next kwakweli ni vingi kulisti ni contact kama utataka bidhaa hizo kwenye email hii zngittu@yahoo.com.
ReplyDeleteHongera mdogo wangu!!
ReplyDeleteniwazo zuri wasouth afrika hawana mpango wanashukrani za punda wasije waka mind na computer zako wakakuchoma au kuzichukuwa zipeleke nyumbani haraka!!
mimi nataka DVD nitakutafuta usijari siku njema
kazi kweli kweli!!!
ReplyDelete