Home
Unlabelled
mamodo wa tigo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ISSA WATOTO WADOGO HAO UTAWAUMIZA BURE..WAACHIE NA VIJANA SAIZI YAO WAPATE BURDANI.
ReplyDeleteHawa tigo mwaka huu wachemsha, katika banda lao sehemu ya kuingilia na kutokea wameweka hayo matofali na maji chini, kiasi kwamba inakuwa shida kwa watoto wadogo na walemavu inakuwa vigumu kwao kupita katika hayo matofali ukichukulia ya kwamba chini kuna maji.
ReplyDeleteuwiiiiii miguuu..
ReplyDeletekwanini wameweka wasichana tuu?? huo ni unyanyasaji wa kijinsia wa kuwatumia mabinti kama kivutio cha wateja katika biashara yao, hivi dunia hii itaacha lini kunyanyasa wanawake?!!! hao tigo wanafanya biashara ya simu sasa hao mamodo wa nini??
ReplyDeleteHawa ndio mamodo wa TIGO wenyewe.
ReplyDeletembona fitting za uniform zina boa zimeshonwa mtaani au nini
ReplyDeleteKwenye hii picha wanaonekana kama wameungua na jua!
ReplyDelete