Home
Unlabelled
mdau wa moscow
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi unatuabisha wazee wenzako mavazi gani hayo?Hasa kofia.
ReplyDeleteMichuzi kwa wadau bwana... lakini mbona picha imepigiwa kwenye magazini xreba....ahaaaaaa muchuzi ulikuwa moscow nini...????
ReplyDeletehalafu mbona mdau mchovu hivyo urusi siku hizi tambarare bwana huko moscow watu wote wana endesha cadillac- escallade siyo mambo ya 90-e na kama ninavyo jua moscow maduka kama hayo ya mikate hayapo tena siku hizi ni G-market vyakula vyote viko packed.. huyu mdau anaweza kuwa anatoka NOVOI ULINGOI...Siyo Moscow..huo ni mji wa ma-billioners wale 105 wa kwenye Forbe..96 wanatoka moscow sasa angalia mambo yaliyoko hapo ni tatizo..
Lakini safi angalau wadau wa urusi umewakumbuka maana wewe wadau wako ni U.S /England ...next time tuwekee wa Kiev..
kazi njema..
mdau wa karagwe.....
weeww 10:39 box zito nini? habari hata hujasoma vizuri umekalia kukandia. Nani kakwambia Michuzi yupo Moscow? Soma kambla hujachemsha...Mmekalia negative to. Nenda nawewe bongo tukuone kwa blog ya mchuzi na uchovu wako...Kijiba cha roho...kitakuuua
ReplyDeleteAfadhali tumepata mdau wa EAST. Manake siku zote wadau ni London,New York,H-Town,Italy(kwa Chibiriti)etc. Au ndio kusema huko EAST hakuna mitandao?
ReplyDeleteAno. 10:39 PM, inalekea huko Karagwe roho zenu ni...na vijiba ndio zenu ona unavyomkandia mwenzio na kuweka mbele ngozi nyeupe acha ushamba, acha wivu, acha kujiona, acha kuchana watu usiowajua ati kachoka ulitaka avae Tshirt yeye millionea. Watu dizaini yenu ndio mnarudisha nyuma maendeleo home
ReplyDeleteLondoner
haya tena wabongo kwa kuosha vinywa hamjambo..karagwe ni poa wala hatuna noma maana watu wameenda shule siyo mambo ya kukaa kijiweni na kupiga udaku..
ReplyDeletekwa bahati mbaya au mzuri kwa wengine huyu jamaa mie namfahamu tangu bongo ni mchuvu tu sasa nashangaa yuko mtoni bado yale yale ya kibongo bongo... any way life style is matter of personal decision.
Mtu wa Karagwe
vicent naaomba unitafute. prosper moscow
ReplyDelete