mrembo wetu amanda ole sululu keshapanda jukwaani na warembo wengine toka kila pembe ya dunia kuwania taji la miss universe 2008 huko vietnam.
hivi sana tunasubiri kumi bora na baadaye mshindi wa kwanza. tbc one inaonesha mtanange huu laivu hivi sasa....
na washindi kumi bora ni warembo toka : kosovo, australia, spain, mexico, colombia, marekani, jamhuri ya dominica, urusi, italia na venezuela.
*
*taji la 'miss congeniality' (wataalamu tutafsirieni kimatumbi) limeenda el salvador
*vazi bora la taifa taji kachukua wa thailand
tano bora ni: colombia, venezuela, jamhuri ya dominica, mexico na urusi
kwa lugha ingine ni kwamba sisi ndio imetoka hiyo...
dah! jamaa wanapendeleana wao kwa wao tu. wadau mnasemaje?
halafu tena miss usa wa mwaka huu naye pia kama ilivyokuwa mwaka jana kala mwereka jukwaani kama kawaida yao hahhaaaa..
PENYE UKWELI USEMWE KWA HAKI BWANA....HAKUNA CHA KUPENDELEANA WALA NINI. UKWELI NI KWAMBAAAAA WALIOSHINDA WAMESHINDA KWA HAKI KWANI ANGALIENI KWA KARIBU WOTE NI WAZURI KULIKO HUYU AMANDA OLE SULULU, NA PIA NIMEFUATILIA BACKGROUND ZAO WAMEMSHINDA MBONGO MWENZETU KWA KILA KITU. TUKUBALI TU JAMANI UKWELI NDIO HUU. NO OFFENCE
ReplyDeleteI watched the Ms Universe pagent last night. Ms Tanzania is a beautiful girl but she needs to have more confidence and poise. She appeared to be scared and timid. I noticed that all the 5finalists were very tall, very beautiful and walked with confidence. No offence but future Ms Tanzanians should have classes on poise and cofidence.
ReplyDeleteHalafu kosa letu ni kuwa bila kubadilisha huu mtindo wa kuwtafuta washiriki miezi miwili kabla ya shindano hatutafika popote. Wenzetu wote walioshinda hao washindani wao wanachaguliwa mwaka mmoja kabla ...wanawafundisha saaaaana tu sio sisi mwezi mmoja then tunaassume mtu ataweza kushindana kitaifa...You can tell that gal was so scared. Na nywele zilikua sijui zimefumuka au ndio ilitakiwa ziwe vile...
ReplyDeleteNa mtanisema kwa hili lakini haya ni maoni yangu gauni la taifa ...mimi niliona kama gauni la msiba vile....Jamani yule ni mmasai walishindwa nini kumvalisha lubeaga? Wangemvalisha lubega kama wale wasichana waliopiga picha na Michuzi alivyokua Arusha tungepata hata point....Gauni la taifa sio lazima liwe kweli...Yaani unataka kuniambia vazi la taifa uSA ni vichupi vile..!!!!!!.... We need to learn and be creative.....
Nakubaliana na watoa maoni hapo juu amanda alikuwa so tense and timid..you could see kabisa kwamba she was not confident.
ReplyDeleteNawaunga mkono wanchangiaji 2 hapo juu, tutaendelea kuwa wasindikizaji tu kama hatutakuwa serious katik hii nyanja ya urembo. Msichana wetu alikosa confidence kabisa, u can tell hata kwenye kutembea, pose na tabasamu. Simlaumu Amanda u cannot build confidence in two - four months, she needed more time than we think.(esp. coming from where we come from, most of us were not taught to have confidence in anything) Waandaaji wa haya mashindano kama kweli mko kwa ajili ya competition you need to be more serious on your preparations, haya mambo ya kuhesabu its another year another trip and we don't make any difference, its a waste of time. Gauni la Amanda la kitaifa was a big joke, hata watu ambao sio watz waliniuliza wht the hake is that? manake mi nilishawatambia mwakilishi wetu ni Mmasai na kuwaeleza culture ya wamasai in short, so I was expecting her to show her tradition at least katika vazi la kitaifa, manake lile kaniki lililotiwa shanga chache za kimasai halikuwa na kichwa wala miguu, poor job for the designer!
ReplyDeleteMaria u'r doing a good job, however u should take all the failures and work on them to improve the next Miss Universe.
Your former classmate, Zanaki.