- Kaka Zangu,
Leo ninaomba msaada kwenye .......... - Napenda sana kukutana na watu waliosoma shule ya sekondari "Kinondoni Muslim kati ya mwaka 1997 hadi 2000 maana wakati huo na mimi nilisoma hapo. Pia waliokuwa wanachama wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania kati ya mwaka 1998 hadi 2000 hasa walioshiriki katika kambi ya Kimataifa ya Vijana ya Msalaba/Hilari Nyekundu ambayo ilifanyika Chuo cha Veta Moshi, Kilimanjaro Tanzania (kwenye kambi hiyo, mimi nilikuwa Katibu).
Nawatafuta ili pamoja na mambo mengine tufanye alumnae na ikiwezekana kufungua njia zaidi za mawasiliano na ushirikiano miongoni mwetu. Najua watu wako "busy" sana katika harakati za kutafuta maisha lakini si mbaya ikiwa tutapata angalau siku moja tukajumuika pamoja na kukumbushana yaliyopita.
Ukisoma hapa, haitakuwa vibaya ukimtaarifu na mwingine.
Tuwasiliane kwa anuani hii:
P. O. Box 79633, - Mob: +255 715 253 653,
Home
Unlabelled
msaada kwenye tuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...