Habari za kazi Kaka Michuzi,
pole sana na shuguli za kila siku za kutupatia habari mbalimbali za huko nyumbani na kwingine duniani..
Mimi nilikua naomba MSAADA TUTANI,nilikua ninamtafuta rafiki yangu kwajina anaitwa NIXON NDEGE NTIMBWA,nafikiri atakua wizara ya sheria hapo Tanzania,mara ya mwisho tulikua nae hapa UK mwaka 1999.
tangu alipomaliza masomo yake na kuamua kurejea Bongo sijapata mawasiliano nae kabisa. sasa mtu yeyote alie na taarifa zake naomba awasiliane na mimi katika address yangu.
Asante sana.
Rambo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...