Tunasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu Ndugu Alex F. Massamba, kilichotokea asubuhi ya tarehe 04 July 2008, Reading UK, katika hosipitali ya James Radcliffe Oxford.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi siku ya Ijumaa tarehe 11 July 2008.Tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali ili kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu.
Msiba unafanyika 34 Elizabeth Walk,Reading,RG2 0AW,UK.
Tafadhali unaweza kutuma rambirambi zako katika:
Bank Name: Natwest Bank
Account number: 88892956
Sort Code: 601721
Account Name: Salome Stephen Buraganya
Au unaweza kuwasilisha mchango wako katika vituo vifuatavyo vilivyoko Reading:·
Bongo Flavor,
Oxford Road·
AU
79 Club,
London Road· Roebuck Pub,
off Workingam Road
Tunatanguliza shukurani zetu za dhati kwa ushirikiano wako mkamilifu katika kufanikisha shughuli hii.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na wafuatao
Peter Respigy - 07888841971
Maira Ben - 07799212095
Maira Ben - 07799212095
Susan Mzee - 07799435327
Jamani Bro Alex,yani siamini,
ReplyDeleteNakumbuka miaka michache Amana AVC mosi,Praise and worship Concerts za DPC.
Anyway:Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana ribalikiwe.
Mungu awatie nguvu wafiwa.