leo kutwa nzima katika viwanja vya leader's club kinondoni warembo kibao walijitokeza kuosha magari kwa hisani kusaidi wagonjwa wa sickle cell, ugonjwa unaoshika nafasi ya pili baada ya malaria nchini kwa vifo vya watoto. magari kibao yaliletwa na kuoshwa na gari moja lilioshwa kwa shilingi elfu 20 na mteja aliyetaka mrembo fulani kumwoshea gari alitoa shilingi elfu 50 ama zaidi kutokana na utashi wake wa kusaidia zoezi hili la aina yake na ambalo lilifana vilivyo. warembo walioshiriki ni wale waliwahi kugombea taji la miss tz na mamodo mashuhuri nchini

mama rubambe wa benki kuu ndiye aliyefungua pazia kwa kuoshewa gari lake
warembo wakishambulia vogue

dah! kumbe kazi kuosha magari....
benz likishambuliwa na warembo


mrembo akilishugulikia benzi macho paka kikamilifu
warembo kazini



haloooo... hapa mbona bado. mbau nyingi dada, eboh! anazoza masudi kipanya
hahahaa mkome kukaa karibu, mrembo anamweleza bosi wa redds kaka kavishe anayekwepa


hapa lazima liondoke safiiiii






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2008

    Kaka Michuzi huko naona ulikuwa UBISHOO mtupu huko, hasa wa kuonyeshana MAGARI tu. Khaa!
    Bora mie sikuja na KIBITO changu.
    Mweeh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2008

    Phwaaaaaooooorrrrrr!!!wow misosi hiyo...naaam

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2008

    Michuzi:
    Kwa kweli naona tumechoshwa na habari za ma miss, hivi wewe pia ni mshiriki kwenye michuano ya mamiss nini?

    Lete habari tofauti na za mamiss. Tumechoka na maisha ughaibuni tonahitaji faraja watoe hawa wauza sura

    Bi Kidea Liverpool

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2008

    MICHUZI DUNIANI KOTE AKINA DADA WAMEKUA HAWANA HESHIMA KAMA MA MAMA WA HUU ULIMWENGU, WAMEKUA WAKITUMIKA KWENYE MATANGAZO YA BIASHARA HUKU WAKIWA NA NGUO ZA NDANI, WENGI WANAFURAHIA HALI HII UKIWEPO WEWE MICHUZI. HAO NI WASICHANA WADOGO WENGI WAO NI SHIDA TU ZINAWAFIKISHA HAPO, NA HUJUTA WAKIWA WATU WAZIMA . MICHUZI WACHA KUSHIRIKI KWENYE HII BIASHARA YA KUNADI HIVYO VITOTO VYA KIKE, KUNA SIKU NA WEWE WAKO ATAKUA HAPO, JE UTAFURAHI? NAUNGANA NA anonymous wa 07/05/08 11:09PM BADILI MUELEKEO MICHUZI, JITOE KWENYE JANGA LA KUUZA SURA ZA WATU USIJE GEUZWA NYANI KAMA HISTORIA YA DUNIA INAVYOTUAMBIA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2008

    mbona magari yote ya wazito,naomba kuuliza kwa wadau waliokuwepo,
    je magari ya wadogo nayo yalikuwepo?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2008

    mimi nilisema blog hii kuanzia mwezi wa 6 hadi wa 9 ni habari za mamiss tu hence giving these girls silly public praises

    Kaka michuzi unasupport kuwaharibu hawa mabinti zetu waende mashuleni jamani wanaishia kuwekwa mjini na mibaba kazi hawana basi wapo wapo tu...Nyerere rudi mwaya ufute mashindano yote ya urembo haya hayana faida mila na desturi zinapotea hivihivi tunajiona

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2008

    Jamani, despite all said kuwa na kaukweli ndani yake, lakini lets cut some slack for the ladies, it was for a good cause and very creative way of raising funds! Big up for the girls, in one of the pic naona kuna hiace, so am sure there were more than posh cars out there! Michuzi uweunaweka na normal pics of normal people sio wenye majina tuu...ni ushauri tuu...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2008

    this shows the lack of creativity in our industries.Nobody can come up with new stuff that havent been done somewhere else.Since when Models wash cars?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...