MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA READING, UK
08-10 /08/ 200

Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.

Mwl. Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.

MATARAJIO Wenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu. Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwa Nyimbo za Injili kutoka Mwanamziki wa Injili Fanuel Sedekia kutoka Arusha Timu ya Injili na uimbaji kutoka Norway inatarajiwa kuwepo.

Huu utakuwa wakati wa baraka sana jitahidi usikose nafasi hii ya pekee na Mungu atakubariki.

ANWANI YA UKUMBI

Rivermead Complex Leisure Centre,

Richfield Avenue,

Reading Berkshire,

RG1 8EQ


Mikutano itakuwa inaanza asubuhi saa nne paka saa moja jioni kwa siku zote tatu.

Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa kuchangia mkutano huu kwa hali na mali Kwa watakaoguswa kutoa, tunaambatanisha akaunti ya bank

Account Name

Association of Tanzanian Christians in Europe (ATCE)

HALIFAX BANK

ACCOUNT NO 00989146SORT CODE 11-07-47


MAELEZO ZAIDI:
Wasiliana na:

Reading Respigy 07888841971,

Birmingham-07776358464

Jackson Kapama, London 07817479845

Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618,

Jane maneno,-Brighton,07950324330

Joyce Jacob. Southampton 07717435287

Sekela Komba 07944632826.

Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti 07983615387


Timothy Kyara- Katibu mkuu.

KARIBUNI WOTE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2008

    Naja, twaja...Mungu awabariki sana kwa maandalizi haya ya mtumishi wa Mungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...