mdau peter bennet wa sauti za busara kaleta hizi sasa hivi akionesha wasanii wa sinachuki kidumbak wakiselebuka huku mvua ikinyesha usiku huu ngome kongwe zenji kwenye tamasha la ziff. ilibidi shoo ikatwe kutokana na mvua hiyo kubwa ambayo hata hivyo waandaaji wanasema kesho ambayo ni siku ya saba libeneke kama kawa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    Bongo kumekucha na tambarare bwana, halafu una enjoy. Barabarani huko mitumbwi ilikuwaje? teh teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...