Salam Mh. Mkuu wa mkoa wa Tegeta,
salam ndugu wadau wa glob hii tukufu popote mlipo duniani.
Nikiwa mdau mahili na maarufu wa mtadao wako tukufu hasa ughaibuni nimelazimika kujitokeza hadharani kwenye glob hii kuipongeza Bank ya NMB ltd Tanzania kwa kutoa huduma amabyao hakika ni mfano wa kuigwa na taasisi zingine za hapo Tanzania.
Tangu niwe hapa Ughaibuni nimekuwa nikihudumiwa na hii bank bila tatizo ni juzi tu nilihitaji huduma yao, nikawa nakosa document moja muhimu,lakini wahusika walijitahidi kadili ya uwezo wao,kutumia utaalamu wao kudhibitisha uhalali wa umiliki wangu na kunisaidia kufanikisha shida yangu kwa document mbadala.
Ndugu zangu inatia moyo,inafurahisha kuona afisa wa taasisi nyeti kama hii ya Tanzania kutoa muda wake kuingia kwenye mtandao na kumtumia email 2,3 client wake akimshauri, kumuelimisha ni kitu gani anastahili kufanya na hata inapotokea client ameshindwa kutimiza mashariti kwasababu moja au nyingine anatafuta njia mbadala ya kumsaidia kwa vile ameisha establish truethness,varidation ya huyo mteja wake kitu ambacho ni nadra sana kwa taasisi ya kifedha hapo Tanzania ambayo mtu unamtumia mtu fedha mara 7,8 wakimpa lakini anapoenda mara ya tisa wanamdai document/s ambazo hawajawahi kumdai, ambazo si kila mtanzania anaweza kuafford kuwa nazo.
pesa yako uliyowapa inawapa kiburi na kumtoa kijasho mzazi, wazee wako uliowatumia.
You guys learn from NMB Bank,
be flexible,
dont be rigid,
take time and negotiate with your customers,
establish truethness,
accuracy,
honesty,
transparency,
respect Individuals, personality, humanity kuliko documents,
use your knowledge, be proffessional to know the truth and accuray kama wanavyofanya kwenye nchi zilizoendelea au NMB ltd Bank.
Wow wow NMB ltd Tanzania.
MdauUSA.
Hilo ni jambo zuri. Vilevile watanzania waishio Ulaya na ambao wanatuma pesa nyumbani, kama ndugu yako ana account ya NMB, unaweza kutuma pesa moja kwa moja kwenye acount yake kwa kutumia intermediary account ya NMB ambayo iko Deutsche Bank, Frankfurt. Hii ni rahisi zaidi. Piga simu NMB QH, utapewa details za account na namna ya kufanya transfer ili zimfikie mlengwa.
ReplyDeleteLabda kwa ufupi ni kwamba una transfer to Account Name: National Microfinance Bank LTD
Account details.......
FOR FURTHER CREDIT:
Name of Beneficiary:
Account number of the Beneficiary;
Branch Name:
Then umemaliza.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na NMB QH (Foreign Trade Dept.)
Hongera sana kaka michuzi kwa kuligundua hilo. Isipokuwa wafanyakazi wengi pengine 90% ya Watz wanakuwa wana kiburi sana. Na viburi hivi haswa hufanyiwa watu wa daraja la kawaida, wale wanaoonekana wanacho hutetenekewa kinoma. Mie nawashauri wafanyakazi wasiwe na viburi, kwani Mabenki mengi ya ughaibuni, wanamthamini kila mteja wake, hawajali kabisa how he or she look like. Inabidi tujifunze ukarimu, sio ukimuona mgeni unababaika, akija Mtz mwenzio dharau kibao, hatutofika.
ReplyDeleteMchangiaji.
Hii ni nzuri sana.
ReplyDeleteMie bado sijapata sababu ya kuwafanya wahudumu wa NBC kuhitaji salio lililochapishwa katika ATM wakati wa kuchukua pesa.
Haingii akilini kwani hiyo ATM inayotoa salio kwanini itofautiane na computer anayotumia muhudumu wa bank hapo ndani.
Ignorant
CRDB ndo wanatakiwa wabadilike.
ReplyDeleteNimemtumia hela mdogo wangu yuko TZ kupitia account yake,leo siku ya 15.Bank ya hapa inaonyesha hela imeshatumwa na hata nilipopiga simu kwa watu wa international transaction wakasema hela tayari iko bongo lakini cha kushangaza haijaingia kwenye account yake na ukiwauliza CRDB bongo wanadai hawajaona hiyo na sijakosea hata herufi moja ya account, nilituma hata risiti ya bank inayoonyesha information zote.
Ni hatua mzuri sana kuelekea kwenye ushindani halisi wa soko huria.
ReplyDeleteIla kwa kuwashauri hawa NMB na benki zingine hapo Tanzania jaribuni kuanzisha kitu kama ELECRONIC BANKING,Mtu aweze kupata current informations za account yake,access ya account yake k.v. salio lake,bank statement n.k.popote alipo duniani ambapo kuna mtandao.Unless otherwise you are good enough to go......!!.
Ni vizuri kuona hilo lakini wewe unayesema Crdb mimi kwangu ni tofauti. Ndio natuma hela nao kila mara na hiyo bank nikituma huku USA kabla ya tisa mchana wao wanazipata siku hiyo hiyo kule.
ReplyDeleteSijawahi sumbuliwa kabisa....Anatumia foreign account?
Ila ukweli customer srvice ni sehemu nyingi bado zinahitaji kuchangamka bongo wahudumu wa sehemu nyingi wana nyodo sana...Wamesahau kuwa mteja ni mfalme na bila mteja huyo yeye asingefanya kazi hapo....bali wakifanya jambo jema ni bora tuwape hongera zao
Mdau USA
Anon jul7, 8:36 pm wewe ndo umefupisha habari yote. Ni kweli customer service TZ ni tatizo kubwa sehemu nyingi unapoenda kupata huduma,nyodo kila mahali mpaka saloon pia jamani?
ReplyDeleteNi kweli customer services bado ni kidonda ndugu kwa Tanzani na ndiyo maana hili suala la NMB limekuwa ni "NEWS" Lakini kwa wenzetu huko majuu ni kawaida huduma kama hizi.
ReplyDeleteBy mchangiaji.
Ukitaka kujua NMB ni kiboko nenda MLIMANI CITY siku za Jumamosi,Jumapili au siku za Sikukuu. Wateja 30 wanamalizika ktk muda wa dk 20 tu. Nenda kwa hao wengine. Wateja 10 mtakaa hapo masaa 2 mpaka 3,hasa hasa NBC. Jamani badilikeni,la sivyo mtaachwa na treni kwani hakuna kituo kingine cha kupandia au kushukia.(Quote from Bob Marley-ZION TRAIN)
ReplyDelete