kikosi cha wekundu wa msimbazi simba sc ambacho leo kimechapwa 1-0 na uganda revenue authority na kupokonywa tiketi ya kucheza nusu fainali za kombe la kagame cup neshno. pamoja na kupewa penati dakika za majeruhi simba ilijikuta ikiaga baada ya mchezaji wao wa kulipwa toka nigeria kumpasia mikononi kipa wa ura na kulifanya jiji la dar lizizime kwa ukimya. yaani wangeshinda asingelala mtu leo. kesho zamu ya yanga. sijui itakuwaje...
Home
Unlabelled
simba njeee!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MBONA UTUWEKI MBONA UTUWEKI KIKO WAPIIII???? NYIE WEUPE BWANA MPIRA MPAKA MKALALE BAGAMOYO MFULULIZO GAME HAMNA KITU MNATAKA SIJUI TAREHE FLANI MWEZI FLANI ILI MWENDE BAGAMOYO NA ZANZIBAR HAOOOOO WEKUNDU KAMA DAMU YA NANIII NANIIIIII
ReplyDeleteDoh simba mbona mnatuangusha ngoja nianze ubaguzi hapa, huyu m nigeria hajui machungu ya wana simba hasa wa hapa mzunguko wa uhuru na msimbazi ndio twenye machungu watafanya muchacho leo asiuze kuku wenye ladha tamu. Aghhhhhhhhhhhhhhh nahasira na huyo aliekosa penati si bora angetowa nje au kugonga mwamba imeniupa michuzi kusema jamaa kampa kipa kwani yeye na kipa wanajuwana mpaka ampe kipa? ingekuwa pan africa ningefurahia pan african kuliko kandambili za chooni wale yeboyebo. mdau toka msimbazi mafuriko hakuna, mafuriko yako bwawa la jangwani.
ReplyDeleteCku zote maandalizi ya muda mrefu ni muhimu; sijui timu zetu za Tanzania zitaacha lini maandalizi ya zimamoto. Namsikitia sana Julio sijui atasema nini sasa maana alibwabwaja sana waliposhinda mechi yao dhidi ya Benadir ya Somalia pamoja na APR ya Rwanda; maana amezoea kubwabwaja mno anafikiri kabumbu inachezwa kwenye magazeti
ReplyDeleteJulio anaona haya amefanywa vibaya!! Kaka Julio sasa ukae kimya maana hiyo KODI sasa umelipishwa, subiri vijana wa chelsea ya bongo wakuonyeshe SOKA!!
ReplyDeleteteheteheteheteheteheteheeeeeeeeeee!!!
aaaaaaaaaah michuzi nawe hata km unazi umezidi sasa,juzi tumempiga mjeshi kutoka rwanda ulikaa kimya km vile glob haifanyi kazi,na angalau wkt ule haifanyi kazi ulifanya kila njia kutujulisha kua haifanyi kazi,ila leo mnyama kauliwa pale taifa kichwa cha habari kikuuubwa,tena umesahau ile breaking nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi yanga aliposhinda juzi glob ikarudi kufanya kazi,si tunajua we na muhishimiwa mkubwa kwenu pamoja kwenye club ile ya pale bondeni mtaa wa twiga,kua fair mzeee
ReplyDeleteTFF wangekuwa wajanja wange-manuva huko CECAFA ili Yanga na Simba wacheze pamoja ktk nusu fainali.Hii ingetuhakikishia wa-TZ kuingiza timu ktk fainali halafu huko ndiko uchawi wote ungeelekezwa. Yanga wakifungwa na Tusker leo wa-TZ ndio tutakuwa mwisho wetu,na TFF na CECAFA wategemee gate collection ya 250,000/= kama zile walizokuwa wanapata Morogoro.
ReplyDeleteSimba tangu lini wakamudu mpira? waende kuua swala huko, hivi kweli na udume wenu mnashangilia simba? sasa ngojeni muone mpira leo. Au kwa hasira tunawarudia ninyi mnaojifanya mnatufunga mfululizo... mnabisha turudi tukipige na nyie mshindi wa 3 ili tuwaonyeshe mpira? maneno mengi kazi hakuna. Mia sita hamsini nyie_ Bube
ReplyDeletepoleni watani mimi sikufurahia sana nyie kutolewa ila ndio mambo ya soka cha muhimu ni kumkanya Julio kuchona sana nakumbuka kabla ya ligi kuanza alisema atashinda na akabidhiwe kombe lake ili amalizie ligi tu sasa kwa kocha mkuu lile si jamba la kutangaza hadharani angeachia mashabiki ndio wafanye kazi ile ya ushabiki yeye abaki kufundisha timu
ReplyDeleteKatochi
kwa wanaopenda siasa, au udaku wa kisiasa hii hapa link ya kuthibitisha rostam aziz anamiliki hisa VODACOM
ReplyDeleteRostam Aziz na Vodacom
Wewe msenge tu.HaKuna timu iliyotolewa kwenye nusu fainali.Na leo ndio mwisho mimi kuingia kwenye blog yako ya Yanga.NA NAWANDIKIA WAPENZI WOTE WA SIMBA NINAOWAFAHAMU KUHUSU BIAS YAKO.MJINGA MJINGA TU WEWE.Wala usiitoe mradi ujumbe umefika.
ReplyDeletehaha, Michuzi unawachoma watani wa jadi kumtima!! Julio a.k.a msema ovyo lazima atie akili
ReplyDeleteIla msimlaumu sana Mnigeria. Watz wenyewe penat bila-bila washkaji. Juzijuzi tu Emmanuel Gabriel kakosa penat Stars vs Mauritius; Nizar naye alikosa ktk Challenge Cup 1/4 fainali, Kili vs Sudan
We anon wa "July 25, 2008 11:19 AM" kama ni ushabiki naona unakupeleka pabaya. Sasa hiyo mitusi unadhani ndio itabadili matokeo ya jana. We kuwa mpole tu, ujipange kwa ligi ya vodacom. Kwani Simba ndio wa kwanza kufungwa? na hata hivyo Michuzi hii ni globu yake. Wewe kama mshabiki wa Simba anzisha blogu yako na uandike habari za Simba tuuuuuuuuu. Mbona Michuzi akiweka habari za bwawa la maini husemi?
ReplyDeleteWale uliokuwa unakuwadia wamefungwa nao.Tena ndani ya dakika 90.Shenzi type walichonga sana.Wametukana mamba na mfereji hawajavuka.
ReplyDeletekaka Michuzi kwa heshima na taadhima, najua hii comment hutaiweka lakini ujumbe utakuwa umekufikia! Simba alipofungwa ulichonga "Simba njeee!" na leo yanga kandambili katolewa, tunaomba tena weka kitu kama hicho hicho katika blog hii tuone! na hao mashabiki wenzio akina Nalitolela na kadhalika, pamoja na kuchonga kwenu, mlisahau kuwa mpira unadunda.
ReplyDeletejambo moja napenda kuwaambia nyie watu wanazi wa yanga, ni hili, mumeo akifa kwa ukimwi, wewe mwanamke pia utakufa tu, simba alifungwa jana, ni mume wenu huyo, mlitegemea yanga mkewe ndo abaki! nyambafu nyie, mkalie huko mnakopewa pesa na manji!!
Mumeo kafa kwa ukimwi wewe unategemea nini??Yanga mumeo kafa wewe kumfuata ndio suluhisho sio kumcheka.
ReplyDeleteBreaking news.Yanga wamekata rufaa.Tusker wamechezesha mchezaji ambaye hakusajiliwa kihalali kutoka Uganda.
ReplyDeleteHAhahaah Yeboyebo nao wametolewaaaaaa sasa tuje tuwapige bao Simba mvuwe kanda mbili huyo Simba 3 Yanga 0 Utabiri wangu 3-0 Tatu bila Tatu bilaaaaaaaaaaa! nyie Yanga hata Pan African hamuwawezi mtawaonea hizo hizo timu za mikoani sio hapa kwa ma mwinyi. Yanga endeleeni kukaa jangwani mcheze Bao Sio tunazidi mauzo yetu msimbazi na ujanja wetu. na tukiwafunga mpitie njia yenu ya ndani ndani kupitia Uwanja wa Karume huku UHURU MSimbazi tutawaimba tu. Kazi nyie kuwanga Zanzibar na mapaka vipi mumewacha kulala makaburini bagamoyo?. jamani msikasirike sana utani tu wa upinzani Yanga wanaimbaa Shikamooooooo Simba wanaitikia Marhabaaaaaaaa. lol. Simba Dume Akiwa Jike ndio mtaumia kabisa. awale akawape wanae wacheke.
ReplyDeleteHata roho ikikuuma vipi Michuzi hasira zako hazibadili matokeo.Kufungwa mmefungwa tu ubandike usibandike hakubadili matokeo.
ReplyDeleteMkuu wa Nanihii namna gani hatujaona Yanga njeee! Ina maana nawe umekula hela za Manji kama vijigazeti? Haipendezi namna hiyo, walau ungeibuka na kitu kama Yanga bahati sio yao au Tusker wabahatisha.
ReplyDelete