Home
Unlabelled
ubitozi orijino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dduuh! bwana mdogo katika picha ya mwisho kaanza kujirusha tangu age hiyo.. kweli enzi hizo kiboko. Hawa bongo flava hawana kitu. kujirusha enzi hizo hatakama nilikuwa sijazaliwa.
ReplyDeleteRanner jamani nimefurahi kukuona humu leo longtime nimekumiss sana swahiba wangu.
ReplyDeleteKweli hao ni mabitoz wa longtime, huyo msela wa picha ya nne pembeni ya alieshika kitambaa(dereki) ukimcheki mguuni ana viatu enzi hizo tulikwa tunaziita 'Kung-Fu Shoes' vilikuwa maarufu sana!
ReplyDeleteDah enzi hizo, ukikuta demu disco lazima ni mlupo, maana mademu wachache sana walio tulia walikua wanaenda club .
ReplyDeleteHalafu ilikuwa fully kujiaachia no worry ya ngoma wala nini, mambo poa tuu, enzi hizo ukinasa na gonjwa ni a quick shot of Penicellin na uko fiti, hakuna mambo ya kucheza salama.
michuzi muongo,toka lini bitoz akatoka gerezani
ReplyDeletewakati huu michuzi,ulikuwa ujadondoka jijini nini?
ReplyDeletedah,mshkaji hata mie kung fu shoes nilikuwa nazo, za bluu. hivi kipi kilianza, kung fu shoes au raba mtoni?
ReplyDeleteAisehh !! pale naona jamaa kaingia disko na viatu vilivojulikana kama "Kungu-Fu" shoes.
ReplyDeleteEnzi hizo nilikua bado nina miaka mitano tu.
Nice one michuzi. Kumbe ndo zako hizi.
daaamn pembeni ya mshikaji mwenye kung fu shuz, mchizi ana air force.
ReplyDeletethat shit is cold!
anony wa 6;37 huzijui kung-fu shoes kwa sababu kulikuwa hamna za rangi ya blue zilikuwa nyeusi tu,duh ulitaka kutupiga kamba humu humu.
ReplyDeleteAah! mwanangu runner mwanangu, kumbe ulikuwa una BM? wakati huo dada yako "kidoti" alikuwa wapi? Sema nae wangu, nimefurahi sana kukuona, kumbe handsome siku nyingi.
ReplyDeleteDada yako wa Fourways.
Gerezani ! Gerezani! Anonymous kweli enzi hizo kiboko. Hapo kwenye backyard ya late Abdulwahid Sykes (RIP) ndiyo mwalimu aliwanza reforms za sororities za wakina mama wakislamu na ku intergate them into TANU. Mwalimu peke yake amewapa credit beni and lelemama socities. Kenya ili ban lelemama socities.Hapo ndiyo Bibi Titi (RIP) ali cheza na mama zetu and was inspired by muslim women who were owners of their homes since early 1930's.
ReplyDeleteHapo ndiyo wakina mama wali mgomea Mzee Londo(RIP)kuvunja majumba zao na kujenga NHC and mwalimu agreed with them when he came to inagurate NHC owned by a mama Saidi. Gerezani kama Harlem. Grezania ni Mecca ya waswahili
Sasa wewe unjua gerezani ipi? Sorry about my bad swahili.
Hao walikuwepo hapo kuna kina marehemu pia ambao walishatutoka.
ReplyDeleteKuna marehemu SHORTY; Marehemu MAGURUWE; SIWATU, ANU, RUMI, AMITONI , JERRY, ABDUKADI, KITITA, TRAVOLTA, KHALID, BARAZA na wengine mpaka nimewasahau sura zao,.
Hapo ilikua YMCA Disco Toto Sundays.
Hapo ninavyokuambia kila mtu kwenye hizo picha ana dischaji buku teyari kuzamia anytime.
Ezza.
michuzi, weka picha za Piza enzi za Gymkhana. Watu hawajui watu wametoka wapi bwana...enzi hizo za Pazi, Vijana, Magnet, JKT, BOT, BIMA, na Jeshi (abc).....Mzee wa chama Malai na Kimario.....Runner yuko wapi na Magazeti....
ReplyDeleteeh michuzi leo umefika mbali, hao jamaa wote nawafahamu majina tu nimeyasau, siwatu na ronnie wakicheza nyuma yupo imani rafiki yake ronnie enzi hizo, hamizi kibwaya, gerry enzi hizo mkitoka ymca disco toto mnauganisha mbowe
ReplyDeleteSIWATU yuko wapi siku hizi? mara ya mwisho nilimuona malay freights.alikuwa na besti wake anaitwa OTTO.
ReplyDeleteenzi hizo nguo zote za dukani
ReplyDeletenaona hapo suruali ni michael jacksson style
ReplyDeletemasikini!!! nimeangalia tena nmemuona na marehemu shotii RIP
ReplyDeletemichuzi na yule binti aliyekuwa anaishi mtaa wa kiungani je unamkumbuka?
ReplyDeleteHivi mnazikumbuka kumbi zenyewe? 1.SEA VIEW, MBOWE, BAHARI BEACH, SILIVER SANDS, YMCA na nyingine nyingi tu enzi hizo watu walikuwa wanasema wanaenda BUGI, hii ni dansi ya kuanzia jioni hivi hadi mishale ya saa nne hivi ni ya vijana, na watu waliokuwa wanaenda ngoma wengi sana ni watoto wa uswahili si wa Osterbay kwa watoto wa vigogo walikuwa wanaona kama ni kujidhalilisha kwenda disco yaani kujishusha daraja hivi kuchanganyika na walala hoi, na enzi hizo watu waliokuwa wanaenda Ulaya sana ni walala hoi si sasa watoto wa vigogo ndo wanaong'ang'ania kwenda Ulaya enzi hizo ni mabaharia tu ndo waliokuwa wanaenda Ulaya na kurudi na maguruwe HII NI GARI YA KIFARANSA WASWAHILI WANAIITA PIJOTI 405, ENZI HIZO dar ILIKUWA SAFI NA RAHA TUPU SI SASA.
ReplyDeleteoyaaa,anon 5.21 ilikuwa pijo 504,siyo 405
ReplyDelete