Home
Unlabelled
warembo waosha magari kwa hisani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi huko naona ulikuwa UBISHOO mtupu huko, hasa wa kuonyeshana MAGARI tu. Khaa!
ReplyDeleteBora mie sikuja na KIBITO changu.
Mweeh!
Phwaaaaaooooorrrrrr!!!wow misosi hiyo...naaam
ReplyDeleteMichuzi:
ReplyDeleteKwa kweli naona tumechoshwa na habari za ma miss, hivi wewe pia ni mshiriki kwenye michuano ya mamiss nini?
Lete habari tofauti na za mamiss. Tumechoka na maisha ughaibuni tonahitaji faraja watoe hawa wauza sura
Bi Kidea Liverpool
MICHUZI DUNIANI KOTE AKINA DADA WAMEKUA HAWANA HESHIMA KAMA MA MAMA WA HUU ULIMWENGU, WAMEKUA WAKITUMIKA KWENYE MATANGAZO YA BIASHARA HUKU WAKIWA NA NGUO ZA NDANI, WENGI WANAFURAHIA HALI HII UKIWEPO WEWE MICHUZI. HAO NI WASICHANA WADOGO WENGI WAO NI SHIDA TU ZINAWAFIKISHA HAPO, NA HUJUTA WAKIWA WATU WAZIMA . MICHUZI WACHA KUSHIRIKI KWENYE HII BIASHARA YA KUNADI HIVYO VITOTO VYA KIKE, KUNA SIKU NA WEWE WAKO ATAKUA HAPO, JE UTAFURAHI? NAUNGANA NA anonymous wa 07/05/08 11:09PM BADILI MUELEKEO MICHUZI, JITOE KWENYE JANGA LA KUUZA SURA ZA WATU USIJE GEUZWA NYANI KAMA HISTORIA YA DUNIA INAVYOTUAMBIA.
ReplyDeletembona magari yote ya wazito,naomba kuuliza kwa wadau waliokuwepo,
ReplyDeleteje magari ya wadogo nayo yalikuwepo?
mimi nilisema blog hii kuanzia mwezi wa 6 hadi wa 9 ni habari za mamiss tu hence giving these girls silly public praises
ReplyDeleteKaka michuzi unasupport kuwaharibu hawa mabinti zetu waende mashuleni jamani wanaishia kuwekwa mjini na mibaba kazi hawana basi wapo wapo tu...Nyerere rudi mwaya ufute mashindano yote ya urembo haya hayana faida mila na desturi zinapotea hivihivi tunajiona
Jamani, despite all said kuwa na kaukweli ndani yake, lakini lets cut some slack for the ladies, it was for a good cause and very creative way of raising funds! Big up for the girls, in one of the pic naona kuna hiace, so am sure there were more than posh cars out there! Michuzi uweunaweka na normal pics of normal people sio wenye majina tuu...ni ushauri tuu...
ReplyDeletethis shows the lack of creativity in our industries.Nobody can come up with new stuff that havent been done somewhere else.Since when Models wash cars?
ReplyDelete