nipo neshno na sasa ni saa nane kasoro dakika ishirini za bongo na yanga bado hawajaingia uwanjani. simba wameingia toka saa saba na wameshapiga jalamba.
kama redio mbao zilivyosema kwamba timu moja itaingia mitini katika kutafuta mshindi wa tatu wa kombe la kagame, hali hadi sasa inaonesha ni hivyo.
vingozi wa mpira wanaonekana wakihaha na viselula vyao, lakini kila mara simu za yanga zinasema iz noti richebo....
tusubiri tuone. picha zaja punde
Watafika hao,usiwe na wacwac michuzi!!Tunaomba updates kadri utakavyoweza
ReplyDeletesimba wamepewa point tatu bao 3...yanga bado yeboyebo....hawajaonekana uwanjani..habari ndiyo hiyo....yanga bado mteja kwa simba.!simba inatisha.!
ReplyDeleteWangeingiza timu waone nyau hao.Walifikiri kucheza kwenye magazeti ndio mpira.Leo wangeona cha moto.Na wachezaji waliowasjili kutoka Simba leo ndio wangefukuzwa wote.Wakubwa jinga hayana hata aibu.
ReplyDeleteWANASTAHILI ADHABU KUBWA SAMBAMBA NA FAINI,,AIBU KWA TAIFA LETU, DUNIA YA LEO TIMU INAKIMBIA WATU WASHALIPA VIINGILIO,,AMA KWELI KWETU SOKA BADO,,ISHUSHWE DARAJA KAMA JUVE NDIO KUTAKUWA NA HESHIMA
ReplyDeleteMigongo wazi haooooo wametoka baruti.Leo kidogo wamuue Mpangala aliyekuwa anasisitiza waingize timu.Muziki wa Mnyama umewatisha leo yangekuwa mauaji ya kimbari.Bakora zingetembea jangwani mpaka asubuhi.
ReplyDeleteHi,
ReplyDeleteOoo yeah mnyama simba unatisha...Umewadhiilishia wazi kuwa mpira si usajiri wa kufuri tu bali malengo ndiyo great deal.....!!!