Home
Unlabelled
bendi ya vibration sound kuzinduliwa alhamisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi, tupe kikosi kizima basi. Mimi nawashauri JOJO na MCD wahamishiwe vibration.
ReplyDeleteMichuzi heshima yako mweshimiwa mkuu wa wilaya ya nani!!
ReplyDeleteKama nakumbuka vizuri mweshimiwa wakati unabadili jina la blog yako ulituahidi mambo kibao kama clips za nguvu na nyimbo za kumwaga ila cha ajabu toka ubadili jina naoana mambo ni kama yaleyale ya zamani au na wewe kitendo cha kuwa mkuu wa wilaya kinakufanya useme kile ambacho hutokifanya au ndiyo siasa mweshimiwa sana?
Naomba usiniweke kapauni tupe jibu tafadhali kuu