Hi Bwana Michuzi,
Habari za siku mzee?
Yule DJ mzungu mswahili kutoka chini ya mbuyu Bumbwini kijijini anafanya marogo zake tena kwenye
BOMBA BEACH PARTY, PAJE BEACH,
EAST COAST ZANZIBAR
jumamosi 9 augusti,
saa 11 jioni mpaka asubuhi....
beach vibes, B-B-Q nyama choma, music from all around Africa and the world.
Hakuna kulala,
tena kiingilio bureeee!
Mdau Y
Stone Town


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...