niko na wadau toka ukerewe ambao wako bongo kwa likizo fupi
mdau wa ukerewe na vijana wake katika mnuso ambao dj bonny luv alitumbuiza
baada ya kurusha watu marekani dj bonny luv amesharejea bongo kuendeleza libeneke. juu niko naye kwenye mnuso mmoja hivi, na chini akifanza vitu vyake kwa kutumia nyenzo za kisasa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HUYU NDIYE DJ # 1 TANGANYIKA

    ReplyDelete
  2. safi!kidogo inatia moyo kuona muitikioo wa matumizi ya technology ktk nchi zetu za kiafrika.hongera kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...