MREMBO NASREEM KARIM (22) KUTOKA KANDA YA ZIWA NDIYE MISS TZ 2008, BAADA YA KUWASHINDA WAREMBO WENZIE 26 KUTOKA MIKOA YOTE YA BARA.
SHINDANO HILO, AMBALO LIMEMALIZIKA USIKU HUU, LILISHUHUDIA MREMBO ANGELA LUBALLA TOKA TEMEKE AKIIBUKA MSHINDI WA TAJI LA BALOZI WA REDDS.
MSHINDI WA TATU NI PENDO LAIZER TOKA MISS VYUO VIKUU AMBAPO BALOZI WA TACAIDS (TUME YA KUDHIBITI UKIMWI) AMEIBUKA SYLVIA MASHUDA WA ILALA.
MREMBO SYLVIA MASHUDA PIA AMESHINDA TAJI LA MISS TZ 2008 WA PILI.
HABARI ZAIDI NA MAPICHA KIBAO ZAJA BAADA YA MUDA SI MREFU.
STAY TUNED.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. safiiiiiiiiiii ni mzuri jamani

    ReplyDelete
  2. Michuzi unatuchanganya tulio nje ya nchi hata hatujui lipi ni lipi...Hebu tueleze hiii ndio Miss TZ au ni MIss Vodacom....manake naona umetumia majina mawili kwa mtu mmpoja lakini ukweli naona hayo ni mashindano tofauti....au siyo

    ReplyDelete
  3. Dah aisee nimefurahi niliyetabiri atashinda kweli ameshinda, jamnai huyu mtoto ni mrembo!!! na anaonekana modest and humble siyo kama yule mtoto nelly! mtoto anajitambulisha TBC huku akiongea kiingereza kilichochanganywa na kiswahili....???? na kudai , eti...I have got IQ!!!!!! wtf?????? Half these girls could not answer straight forward simple questions sometimes this competition seems like a joke! But hey Miss Nasreem Karim deserved it for real!

    ReplyDelete
  4. Anonymous 8:43 Ngoja nimsaidie bw michuzi kukujibu Haya ni mashindano ya kumtafuta MISS TZ ila waandaaji wa shindano ni VODACOM

    ReplyDelete
  5. MISS TZ NA MIS VODACOM NI HIYO HIYO MOJA, VODACOM NI BIG MFADHILI KAMA VILE UK PREMIERSHIP SOMETIME PEOPLE CALL IT BARCLAYS KWA VILE NDO MFADHILI MKUBWA. KWA HIYO NI KITU KIMOJA MDAU

    ReplyDelete
  6. SHULE MALI HEE,,, MTU ANASHINDA KUJUA KUHUSU MISS TZ NA VODACOM KUNA UHUSIANO GANI HAHAH HATA KAMA HUKO WAPI UKONA PICHA TU UNAJUA KUWA VODA MZAMINI,,,HUKIMALIZA KUWATWAZA HIVYO VIZEE NENDA SHULE KIDOGO

    ReplyDelete
  7. pumbafu wewe anony wa 8/4... There is no strupid question in this world. Ungejua elimu yangu ungefunga mdomo wako na wala sina muda wa kukueleza. Mtakalia kusema "kutawaza vizee" kila siku mngejua tu.....Mind your life ...kama wewe umekalia kufollow up with the entertaiments wengine hatuna muda ndio maana nimeuliza...Ignorant

    ReplyDelete
  8. Namuunga mkono Anony wa August 04, 2008 3:51 AM: Huyu anony aliesema "pumbafu" hajaenda shule au basi amenunua vyeti kwani utaona hata language yake ni ya chini ya mwembe!!! kwani hata simple common knowledge hana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...