What is a Squirrel?
What is a Chipmunk?
These two are closely related however when you closely observe the animal in Anna Maria's picture is most likely a chipmunk
--
Phillip Higenyi Kakuru
ICT Resource/Webdesign
ICT MOVEMENT
Tel: +256775669099
P.O Box 5772
Kampala
phillip.kakuru@gmail.com
www.ictwithus.blogspot.com


Michu nje ya topic kidogo.CELTEL=ZAIN?(Tax holiday imeisha au?)
ReplyDeleteManaona sasa ...mlimsakama mtoto wa watu kwanini kaenda India kutalii Sasa ona hii knowledge yote hiyo .Mimi nilivyoona hichi kidudu mwanzoni nilizania ni squirrel kumbe baada ya hii picha na ukilinganisha na hawa tunaowaona USA ni kweli ni tofauti.....
ReplyDeleteJamani kutalii jambo zuri sana
Squirrel anaitwa KUCHAKURO kwa Kiswahili. Angalia Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili (TUKI) ukurasa wa 740.
ReplyDeleteHata sisi wachaga huwa ni shida kuvitofautisha, anyway tuna majina yetu, hapo kuna KICHAKULo na KICHAKoRo, walai tena we uliza mchaga wa pale URU Mawella atakuambie!
ReplyDeleteYap hao wanyama wapo wengi marekani hicho ni chakula cha wanugu(wamarekani weusi) atakula squirrel lakini mbuzi hali anaona mbuzi ni kama mbwa na mimi naona squirrel ni kama panya
ReplyDeleteNikohapa Canada kwa kweli vilikuwa vinanichanganya sana, Chipmunk is not squirel! tofauti kabisa ama kweli tembelea michuzi
ReplyDeletethanks very much brother from kampala for the knowledge.
ReplyDeleteThis is Annamaria the sender of that pic.
TUTATEMBELEA BLOG YAKO USIWE NA WASIWASI
ReplyDelete