
JE UNAJUA SASA KUTOKA KATIKA SIMU YAKO UNAWEZA JISHINDIA SAFARI YA MAREKANI?
UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUANDIKA NENO 'timesfm'
KISHA UNATUMA KWENDA 15727
ijumaa saa kumi jioni Draw itachezeshwa na unaweza jinyakulia pesa taslimu zisizozidi Shs.140,000/= na CD za Slow Jams kutoka Hollywood Marekani.
Draw kubwa itachezwa October 25th 2008 katika viwanja vya mnazi mmoja ambapo washindi 3 watapata TIKETI ya kwenda na KURUDI Marekani ambapo watatembelea kitongoji mashuhuri cha Hollywood Walk of Fame, Disney Land, Universal Studios na Hot92.3 na dola 1000 za manunuzi.
Akhsante
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...