

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtotongwa Arafa kapendeza jamani!!. Nawatakia kila la kheri katika maisha mapya ya ndoa Bw Ridhwani na Bi Arafa.
ReplyDeleteChoonde chonde waosha vinywa msianze kutubughudhi. Mara Halohalo, mara baba na mwana sijui nini n.k
Nadhani mnaona wenyewe, ukumbi bomba sana, amakweli bongo tambarare sikuhizi.
Michuzi tuwekee picha nyingi bwana!!!
ReplyDeleteBaba mkwe yupo wapi au anaogopa kuona vazi la mkwe mabegazzzzzzzzzz out!!!
ReplyDeleteWamependeza mashallah.......inshallah ndoa idumu....
ReplyDeleteDuuuuuuh mbona nawaona tayari wameshafanana vile??kama mtu na dada yake pllzzz sielewi mie.
ReplyDeleteSoshi kinywa ila nauliza? mbona raisi ni muislamu na naona majina yao ni ya kiislamu?
ReplyDeleteLakini harusi naona ni kama ya kikristo vile. Hayo mavazi sikujua harusi za kisslamu wanavaa hivi..
Mnitoe ushamba sijahudhuria harusi ya kislamu zaidi ya jirani yetu na niliona wamevaa kanzu na bibi alivalishwa ushungi vile
ANASA hizo............
ReplyDelete`WATU BADO WANAENDELEZA LIBENEKE``
``WANANCHI VUMILIENI``
We Anon. Wa kwanza MMhhh. Ngoja nitulie. Ila huo ukumbi ulifurika haswaaaa. nadhani Wakwere wote walikuwepo.
ReplyDeleteKumbe Rais wetu anajua kuyarudi, ama kweli Rais Tunaye. Salaam Zako baba Moo' zikufikie kwa karo washup! Maana ungekuwa Bongo usingekosa huo mnuso
bi harusi kaumbika, kapendeza kweli. jamani na ndoa idumu, Allah awaongoze. natamani ningekuepo, michuzi pliiiiiiiiiz ongeza picha, hi harusi muhimu bwana!!!!!!!! hata wazazi wa bi harusi hatujawaona
ReplyDeleteLol Anonymous said... wa August 24, 2008 11:35 PM.
ReplyDeleteYes wote ni waislamu sio kwa majina tuu. Lkn ni hivi kwenye ahrusi inategemea na mavazi yako bi kharusi na bwana harusi. Kwani unaruhusiwa kuvaa vyevyote utakavyo. Example sie kwetu kwenye Aqdi unavaa green dress ambayo unaweza changanya na gold, na bwana harusi huvaa Jokhho. Na wenye hall twavaa White dress na bwana harusi huvaa suite.
Sasa wewe unaoa kina kikwete kma wakristo sababu ya mavazi yao, i mean ujamuona Kikwete kwenye hall na kanzu na koti. hehehhe hyo yataka wenyewe babu weh Kikwete hayawezi yeye kashazoea uite. Lkn kwenye mavazi ya Kharusi hkuna ukristo wala uislamu. Yote huenda tuu. Tc
Kwa kweli harusi imependeza sana, hongereni sana mungu awabariki na awajalie furaha tele katika maisha yene, kaka Michuzi tunaomba utuwekee picha zaidi, wazazi wa bi harusi hatujawaona pls michuzi
ReplyDeleteNamsupport huyo hapo juu wakristo hatu vai ushungi wala kanzu kwenye harusi
ReplyDeleteTunajua maana ya shella na nguo nyeupe kwetu sio kila gauni laenda tu
Uncle Michu, huyo msimamizi wa bibi harusi ni Nurubibi au???tupe basi masnepu zaidi...
ReplyDeleteKikwete naona hapo baba na pinda mugongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
ReplyDeletenataka kumjibu huyo aliyesema kwamba sisi wakristo hatuvai kila gauni kwa sababu unajua maana ya shela. mimi ninavyofahamu shela nyeupe inavaliwa na mwanamke ambaye yuko chaste, untouched..nk, wangapi unaowajua wewe ambao ni wakristo wameolewa mabikira? acha za kuleta hapa. waislam wenye uwezo harusi inaanzwa na ndoa(aqdi) pale bi harusi anavaa gauni la rangi moja na hijab, ukitaka kuita ushungi haya, ukitaka kuuita shela haya, maana shela ziko za aina nyingi za kujitanda na kuachia kichwa wazi na bwana harusi anavaa kanzu au joho. kwa wenye uwezo wao wanaendeleza libeneke kwa kuwa na reception, na hipo ndipo bwana na bibi harusi wanavaa western style suti na shela.
ReplyDelete