Leo hii FC BONGO ya Helsinki imefanikiwa kushinda kombe la HELSINKI PREVENTION CUP Baada ya kuibamiza Nigeria 2-1 na kumaliza mashindano hayo kwa kushinda mechi zote saba walizocheza.
Magoli yote ya leo ya FC BONGO yalifungwa na DUDU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI FC BONGO
MUNGU MBARIKI KOCHA ABDALLAH 'SCORALI' EZZA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOOTE KWA JUMLA
FC BONGO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
Magoli yote ya leo ya FC BONGO yalifungwa na DUDU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI FC BONGO
MUNGU MBARIKI KOCHA ABDALLAH 'SCORALI' EZZA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOOTE KWA JUMLA
FC BONGO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.


we did it!!!championne championne..ole ole..ole..oleoleee...!!
ReplyDeleteHongera sana kwa ushindi wenu Fc Bongo, Mnastahili sifa zote kwa kutupa Fahari Watanzania. Huu ni Mfano bora kwa Watanzania wote kwa jumla. Mungu awazidishieni vipaji Kocha na wachezaji wake.
ReplyDeleteKosa wazungu ao mngefungwa
ReplyDeletemashindano yenyewe kama Bongo shule ya uhuru UWANJAWA NJE!
ReplyDeleteWabongo bwana kwa majungu! haya we anon namba 3na 4 (mtu mmoja according to the mins) wazungu wamefanyaje? umesikia waliofunga ni wazungu. Mbona huitakii timu mazuri??? be happy that we won iff u can't fight the champions then join them and if that is too much 4'yah too then jitupe kwenye metro kama hao wazungu unaowafagilia. Me nimewafagilia sana mechi poa yaani wanigeria mpaka wamekimbia c mchezo.
ReplyDeleteWewe anonymous wa August 03, 2008 7:09 AM Acha wivu, Hao jamaa wanastahili Sifa hata kama walichezea msituni, jana tulikuona ukijifanya umezimika kwa kuona haya. Umejaribu kufanya hiana lakini hakuna aliekusapoti sasa hivi unaishia kuzungumza utumbo.kuna usemi unasema. "REGRET IS THE ANTHEM OF THE LOOSERS" Wewe utaishia kujuta tu kwa hiana yako. na Always you will be a looser, Washindi wanaonekana. Iloooooooooo-Looooser.
ReplyDeleteAnony August 03, 2008 7:09 Unazungumza Pumba, Acha Donge , kama Mtanzania kweli huwezi kuzungumza hivyo. Wasifiwe hawa vijana kwa kungárisha bendera yetu. Mfano mzuri wameonyesha. Hongera Wana Bongo fc, mnastahili sifa.
ReplyDeleteSwali rahisi sana: Kwa nini hakuna picha inayoonesha wapinzani wenu au mkicheza uwanjani? Picha zote tangu michuano hii imeanza zinaonesha mkiwa kabla ya mechi au baada ya mechi na zote mko nje ya uwanja huo mkubwa. Hii nini?
ReplyDeleteJuzi juzi hapa timu ya vijana imekwenda Brazil halafu eti ikakumbana na mashindano ambayo haikujua kuwa yapo wakati inaoondoka, ikashinda timu kubwa zinazotisha duniani kwa timu zao za vijana na kurudi na Kombe. Ilikuwa muujiza gani wakati timu hiyo hiyo inafungwa hapa hapa Afrika Mashariki na Kati?
Ni kweli tunalipenda taifa letu lakini haya mambo tuwe waangalifu jamani!!!!
Naomba kuuliza ...na hao wazungu ni TZ citizen au hii timu ni jina tu la nchi yetu ila wachezaji wanaweza kuwa wa nchi yeyote?
ReplyDeleteAll in all hongera sana
We anony wa 8:33 pm hawa wazungu wana uraia wa nchi mbili, acha noma. Tatizo hili kombe halijaandikwa na gazeti hata moja huko Majuu.
ReplyDeleteYule striker wa team yetu ya bongo oganigwe a.k.a Mike Chuma si alisema anapiga boli huko?sasa mbona kashindwa hata kuchezea haya mashindano bala yake tunasikia anavaa koti la leather DSM?
ReplyDeleteduh aisee kuna watu wana chuki binafsi humu jamani. Hata kama ikiwa ni mechi ya mchangani; ushindi ni ushindi. We anony wa 7:09 AM, kwani hao FC Bongo wamesema kwamba hii ni ligi official, acha kujishaua. Na we wa 7:18 PM unayeleta conspiracy theory zako, yaani wabongo wote wa Helsinki wasingesema tu kama haya mashindano yangekuwa feki? I have friends in Finland na nilikuwa huko last month na nikaenda ktk one of the games. Kama unataka kuona picha za mechi uliza sio unaleta pumbapumba zako
ReplyDeleteMbio za sakafuni huishia ukingoni,
ReplyDeletekila mmoja ana uhuru wa kuota ndoto hata kama wa mchana!
Anony wa 7:18 na wewe umewashitukiae Ukiangalia picha za hawa jamaha toka mwanzo zina utata mkubwa sana ,ni kama kifo cha Chacha vile.VIELEZO VYA USHINDI AVIJITOSHELEZI KABISA ,labda Michuzi kawabania.
ReplyDeleteAibu kubwa kuona Mtanzania anawakandia watanzania wenziwe kuchukua ushindi, lini mtalearn nyie wapumbavu?. Wenzenu wanaonyesha wako happy kwa ushindi huo, eti nyie mnakanda, mnakanda nini?, lazima mna personal reasons kuwa mnawaonea chuki hao waliojipatia hizo sifa. Nyie mnaoponda mnaonyesha kuwa na asili ya kuona donge kwa kila kizuri mwenzenu akifanya. Aibu kwenu, acheni hiyo jealousy. Watanzania hao wanastahili sifa zote hapo.
ReplyDeleteNdio maana wanaishia kuwa na mawaziri wa dizaini ya Mudhihir.
ReplyDeleteAnony 10.17 hiyo michezo ya Prevention Cup iliandikwa kwenye gazeti la Helsinki Sanomat, nilisoma kuhusu shindano hilo. Prevention Cup ni kujumuika kwa jamii through Soccer for fair play, against racism, and equal rights. Hongera FC Bongo achaneni na comments za watu wenye low self esteem. Only we know our quality of life in Helsinki.Mwaaaa......
ReplyDeleteGiant nakuona hapo unashangilia ushindi wetu. Hongereni sana kwa kupeperusha bendera yetu.
ReplyDeleteNdugu yako, Scotland hapa.
Mwenye kutaka kuona picha za mpambano huo kwa mapana namarefu, namshauri atembelee Jamiiforums.com sehemu ya michezo kwenye mada ya "Tanzania yatinga fainaili"
ReplyDeletenani anataka kuona picha za wapinzani( not enimo) kama wanigeria kwenye michuzi??? unataka picha lete email yako nikutumie na hata video clip utatumiwa mtima Nyongo weye!!
ReplyDeleteKwa taarifa za wanaoishi huko mliko wametwambia kuwa hiyo timu si ya wabongo peke yao kuna wachezaji kutoka nchi nyengine za afrika na wazungu pia wamo, sasa kutudanganya kuwa wabongo ndio mliofanya kweli si sawa. timu inaitwa fc bongo lakini sio ya wabongo peke yao!!!!
ReplyDeleteNa yule anaetetea kuwa eti walofunga ni watanzania kama ndio point ya kuonyesha kuwa timu ya watanzania sina la kusema maana mtizamo wako mzima wa suali hili ni kinyume nyume. hata hivyo je angelifunga asokuwa mtanzania mgelikataa huo ushindi? mpira ni watu 11 ikiwa wote 11 na waloingia kama resrve ni mchanganyiko wa nchi tafauti then sio timu ya watanzania, ni timu ya mpira tu yenye jina fc bongo, period
Hawa wanaozungumza pumba sio watu wanaoishi bongo wala kwengine, bali ni wale wale wanaoishi Helsinki wanaompinga Ezza, leo Ezza kawafunga mdomo wanaishia kuoshea vinywa vyao humu kwa michuzi,. Mnajulikana nyie mafala.
ReplyDeleteDoes it matter if some of the players are not Tanzanians? Personally I believe if they are playing under the name of Bongo; dressed in Tanzanian replica jerseys with Tanzanian flags flying high in joyous celebration like on the pix above, then it's good publicity for Tanzanians.
ReplyDeleteI know it's only an Armature/Rec league; but hey, it's something! I play on intramural sports at my Uni and winning is always such a sweet moment, even though you know it's just rec.
I also found these clips on youtube, they might help settle the issue of proof:
1. http://www.youtube.com/watch?v=ILuBze12b3g
2. http://www.youtube.com/watch?v=-hHI-YCU9Po&feature=related
3. http://www.youtube.com/watch?v=1GHFEHudqnw
By the way, I am a Rugby fan; we've had a Rugby Nat'l team for a few years now but it's filled mostly with South African and British expatriates.
Hao washamba wanakandia kuona wazungu au uwanja na mechi za mchangani hawajui kitu kwenye maisha ya kisasa muhimu limepambwa Flag la bongo kwa watu wa rangi zote kuwa ni mabingwa! Hongereni fc bongo mkisoma maoni ya watu kama hao muwaelimishe JAMII YA SASA INAISHI VP DUNIANI!!!!!!MEDDY!
ReplyDeletehata simba na yanga inavyowakilisha tanzania ikiwa na wachezaji si watanzania je hazipeperushi bendera ya tz mashindano ya nje ya tanzania? ikiwa wewe unaponda tena bila kufikiri je umepeperusha flag ya bongo kwa njia gani BADILIKENI
ReplyDeletePicha zote hizo mbona Fide haonekani?, au hakuusika?
ReplyDeleteBinafsi,nikiwa mtanzania na mwanamichezo.
ReplyDeleteNapenda kutoa pongezi kwa Bongo FC kwa "ushindi" wao waliopata.
Ni habari njema na za faraja achilia mbali mpambano ulinjika.
Inashallah tunawasubiri mje na kombe lenu tampere ..mtuonyeshe "KIWANGO" mlichotumia kulipata kombe ilo.
Tunawakaribisha Tampere huku bado mkiwa na kumbukumbu ya 3-1 tuliyowafunga.
Big up Ezza na crew nzima.Siku nyingine sio vibaya habari zenu japo muwe mnatoa japo na picha za wapinzani wenu..Soka ni amani,upendo..FAIR PLAY.
Tutafika tu
pongezi ni kwa kocha wa FC bongo pamoja na wachezaji wote ambao wamecheza kwa kulilinda na kulitetea jina la tanzani...ni mafanikio wa watanzania wote....tumefurahi sana...kama kuna vipaji huko kwa nini wasije huku kwetu wakajaribiwa...bwana maximo angali ezza anakuja kwa nguvu huyo ohoooooooo......
ReplyDelete