Huyu ni BARAKA MAHENGE from RUAHA UNIVERSITY COLLEGE(SAUT) akiwa ofisi moja hapo town kwa ajili ya FIELD.He is taking bachelor of science in computer science!!. All the best kwa washkaji wote mlio PT ofisi mbalimbali....
I expect to get your pictures too. Soma Ujumbe chini

hi Michuzi,
i hope unaendelea vizuri na shughuli zako ...we thank you for keeping us informed most of the time... Sasa nilikua naomba unisaidie kuipromote blogg yetu na sisi inayoitwa:


inahusus wanafunzi wa vyuoni na wengine wote ... mainly ni kwa ajili ya kuexchange ideaz na kujua kinachoendelea katika campus zetu...yaani vyuoni!!

i hope utanisaidia kwa kuongeza pale kwenye list ya blogg zako!!
hata kama unaweza kufanya njia nyingine ya kuiadvertise zaidi....
i hope utanisaidia
thanx in advance!!
Mdau Willy

--------------------------------------------------

HALLOW COLLEGE STUDENTS ALL OVER TANZANIA.

This is for welcoming you all and letting you know that now as students we have got our new blog........

This blog will be helping us to air our views on the ongoing things in our country and the world at large and chatting and letting others know what is going on around all our campuses...also it is designed for all of us to share our views about entertainments,education,sports,lifestyles,rumours and a little bit of politics and otha important things.....

So i take this opportunity to welcome you all and starting from this year of 2008 we will be having our blogg and you are all welcome to post your comments on this...

we will be using both languages ENGLISH and our mama KISWAHILI..

WELCOME YOU ALL

Mdau Willy


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hiyo blog ya huyo jamaa haina mpango.. All the posts have got nothing to do with STUDENTS! They'er talking abt P DIDDY, FIFTY CENT etc... Suprisingly all these people never attend UNI or COLLEGE.

    GOOD LUCK anyway but I dont think it represents TZ students in any way.

    ReplyDelete
  2. Mimi naomba kurekebisha kijikosa manake ilinichanganya hata mimi kabla ya kusoma zaidi na sio kwamba najifanya najua ,nisameheni kama nitaonekana kama najifanya mjuaji.katika fungu la maneno ya english mdau kaanza na neno "Hallow college nakadhalika" hio hallow nilijua ni jina la college sema baada kumalizia mstari nikagundua alikuwa anamaanisha "hello".sasa sijui kweli inatakiwa kuwa "hello" au ni "hallow"?

    ReplyDelete
  3. That's very true all rubish at 50 cent alienda lini Uni. badala ya ku-develop kitu kizuri to express ur problems mnaanza atii degree ya mlimani nzuri uliko sijui ya wapi wakati. Wengine wanaanza kujiexpress na kiingereza kibovu guys, u have to check things kabla hazijawa posted kwa public.
    see example ya makosa yenu:

    william jackson I am the student of university of Dar es Saalam

    I will be more than happy ukigundua kosa lako katika hiyo sentence.Acheni kuleta mambo ya Ki-teeneger huku.

    Londoner

    ReplyDelete
  4. kweli kama wenzetu wanatudharau kwa english yetu basi sawa tu. Huyu jamaa msomi wa chuo kikuu lakini alichoandika hapa kwa kiingereza ni upumbavu mtupu.

    ReplyDelete
  5. Watanzania ndio tulivyo..hatufikirii kuanzisha kitu au kufanya kitu bali tupo kwa ajili ya kuwavunja mioyo wenzetu wenye idea nzuri.Ndio maana waliotoa maoni hapo juu ni ya kuharibu tu na sio kujenga,,oo sijui english oo sijui diddy..
    jamani jamni tubadilike watanzania na tuwe tunatoa maoni ya kujenga na sio kuharibu..
    hongereni wanafunzi na big up sana,rekebisheni makosa madogo madogo na mtafanikiwa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...