wadau imma na blandina wakimeremeta katika ukumbi wa stallion ambao unamilikiwa na bw. harusi ambaye pia ni bonge la interior designer. mavazi yao hayo ni mambo ya viragozzzzzz...
nenda
ukajionee pamba za nguvu na jinsi imma alivyodizaini duka hilo la virago. hii ndio bongo bwana!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. wamependeza...
    Jamani huo ukumbi uko wapi?? nasi tukapate huduma huko??

    ReplyDelete
  2. jamani hongereni shuhuli inaelekea ilikuwa babkubwa.
    Msaada kwenye tuta please hiyo Stallion ndio iko wapi?

    ReplyDelete
  3. Kaka kweli Tanzania nchi ya ma miss !!!!
    Story zooooote hizi around the world za maandalizi ya Olympic naona blog zetu(za jamii ????) hazina cha kuripoti !
    Ama kuna ukweli wowote wa sterio type kwamba WATANZANIA ni yaniyani ,warembo,wavivu na wasiopenda kujibidiisha kwenye michezo wala kazi na wapenzi wa kutumia muda mwingi kwenye viooo ama baa ?

    ReplyDelete
  4. Ndiyo mshikaji wangu hapo juu. Tanzania ni nchi ya watu tusiojua tunatoka wapi au tunakwenda wapi. Angalia vitu vinavyosifiwa tu utajua watu wako wapi. Wakenya ndio maana wanatusanifu mpaka huwezi kuamini. Wanatuita majina ya ajabu, kama nchi ya Bongo lala, nchi ya slow move, n.k. Watu Bongo wanasifia vitu ambavyo huwezi hata kuelewa vina nini?

    ReplyDelete
  5. Jamaa wanasema maisha ni mtazamo wako tu. kama kulala chini unaona ok then why utafute kitanda?
    Kama kuishi maisha ya digidigi sio problem, kwanini uanze kutafuta ajira na kujibidisha kuamka mapema huku ukimnyenyekea bosi wako?
    Kama kuishi single wakati unafurahia kutest watoto wanaokuwa kila siku na vimama wasiotoshelezwa na wazee waliobusy kila siku, yanini kuoa or kuolewa?

    But kama kuna mmoja wenu anawaza kuwa na watoto basi watoto walizaliwa kwenye ndoa ndio watoto ambao vitabu vitakatifu vinatutaka tuwalete hapa duniani. kuowa na kuolewa ndio njia pekee ya kuwatoa hao watoto. nakama utawazaa ukiwa na miaka 25-30 first born then unahakika wakati unafika 50s yeye atakuwa anamaliza chuo so majukumu kiasi utaweza kuyapangia... ukichelewa......

    Hongereni sana, but nawashauri wabongo wenzangu tuchinje jamaaaaaaaaaaa!!!

    G7
    UK

    ReplyDelete
  6. Natafuta binti mzuri wa Kibongo wa kuoa, kwa sisi tulio Ughaibuni mabinti wa kibongo waliotulia wenye quality za kuwa wake ni adimu! Mshikaji hongera kwa kupata mke.

    Mdau,
    Scandinavian countries.

    ReplyDelete
  7. Hata mimi nahitaji mwanamme mzuri wa kobongo kwa sisi tulio ughaibuni. Wavulana wazuri wa kibongo waliotulia wenye quality za kuwa baba watoto adimu sana tuuuu pia. Wanaume wakibongo walioko huku majuu kiswahili kirefu na wengi hawana malengo yeyote ya maisha huku tuliko...

    Mimi naishi USA na wala sihitaji mengi.
    1. Awe mkisto
    2.awe na degree or above
    3. Asiwe na watoto ..I can't handle baby mama dramas
    3. Kama anaishi USA awe na paper au siyo ajue tukioana tunaenda kuishi bongo...mimi papers ninazo lakini niko radhi tukaishi bongo...Kam elimu anayo nadhani hii sio big deal kuishi bongo tight!!!! Nimeona mengi miwanaume mingi kiswahili kirefu na wakiuoa wakipata papers tu basi wanaanza vituko na mwisho inakuja talaka...ndio maana nasema kama huna makaratasi ......tukaishi bongo...
    5. I will go with a 30yrs old to 42 yrs old man

    Kama you are out there mmpe michuzi contact mimi nitambeep

    ReplyDelete
  8. We anony wa 1:06AM, list ndeefu but what do YOU have to offer to her? Haya mambo ya kutafuta mke kwa kutumia checklist mtabakia hivyo hivyo single milele.

    Si uko US? Ingia Match.com na eHarmony basi upate hizo quality unazozitaka. We vipi.

    ReplyDelete
  9. we dada wa USA!kama mpango wako mkioana huende mkaishi bongo kwanini usiende kuoelewa uko uko bongo kuna wanaume wengi tu wakiTZ.
    Labda mambo yanaweza kuwa rahisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...