JK akiangalia ng'ombe aliyezalishwa kwa chupa(Artificial insermination)wakati alipotembelea baadhi ya mabanda katika viwanja vya Nzuguni katika manispaa ya Dodoma, leo mchana wakati wa kilele cha Sherehe za wakulima Nanenane. JK aliwasili mkoani Dodoma leo akitokea mkoani Iringa ambapo alifanya ziara ya kikazi ya siku nane JKJ akiangali mchungwa uliopandwa kwa mbegu bora na kutoa matunda mengi wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kilimo na bustani za mboga katika viwanja vya Nzuguni,katika manispaa ya Dodoma
JK akiangalia bora za mazao mbegu zilizalishwa na kitengo cha utafiti katika wizara ya Kilimo chakula na Ushirika wakati alipotembelea banda la wizara hiyo katika viwanja vya maonesho ya kilimo,katika viwanja vya Nzuguni,katika manispaa ya Dodoma leo wakati wa kilele cha sherehe ya sikukuu ya wakulima leo. habari na picha ni kwa mujibu wa mdau freddy maro


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...