JK mara baada ya kuwasili bungeni dodoma kuhutubua wah. usikose kusikia alichosema katika masuala ya epa, michezo na mstakabali wa wafanyakazi. vile vile usikose kusikia 'ngoma kisangani ya njenje' pamoja na nini baadhi ya wadau walivyosema kuhusu hotuba ya jk. yote hayo utayapata ukienda:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...