Hi brother Michuzi,
i have got new blog for soccer news in kiswahili for local news and international ones. Wadauz wote are welcome to visit it @ bongosoccer.blogspoti.com
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. i have got new blog....hichi ni kiingereza cha buguruni uswahilini. kwani lazima uandike kwa kiingereza? ungetumia kiswahili tu tungeelewa!!!

    ReplyDelete
  2. Mbona hakuna linki ya hiyo blogi?, itakuwa na maana kweli kama ushamba wenyewe ndio kama huu, unatangazia blogi huweki linki?

    ReplyDelete
  3. Anony, August 25, 2008 unasema
    I HAVE GOT NEW BLOG ni kiingereza cha Buguruni!!! acha kuchekesha, wewe umejifunzia wapi Kiingireza chako mpaka useme hiki ni cha Buguruni!! nakushangaa! hiki ni perfet English no ubishi about that, ask even English language professors they will say so too.

    Kuhusu blog, watu wengine hawana bahati ya MICHUZI, MICHUZI si blog tu ni kwamba jina lake kubwa ndio maana blog yake inapata big hits everyday, anajulikana toka zamani kwa umahili wake wa kupiga picha toka zamani hata kabla ya huu utitili wa magazeti yaliyojazana siku hizi mitaanI, nimekuwa nikimesema hili kila mara hata jana tu nimelieleza hili kwani hakuna mtu asiyemjuwa MICHUZI ni mtu wa watu, mchangamfu, anajichangaya na ana right personality kwenye industry hii, nakumbuke wakati tuko shule watu walikuwa wakinunua magazeti enzi zile kitu cha kwanza tulikuwa tunakimbilia kuangali Michuzi kaleta picha gani leo and then tunasoma the rest. Hivyo sifa na mafanikio aliyoyapata Michuzi na blog yake in terms of having WADAU wengi si rahisi mtu mwingine aka-match/emulate.

    E.A.M.

    ReplyDelete
  4. What about "I have a new blog"? Or "I got a new blog" sema kuchanganya "I {have} {got } a new blog" kusema kweli english nilifeli lakini sidhani kama "I have got a new blog" sahihi zaidi ya zile mbili juu nilizotolea mfano.

    ReplyDelete
  5. Naona ni blogspot na sio blogspoti kama alivyoandika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...