Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais[Muungano] Mhe. Muhammed Seif Khatib akionyeshwa Maazeti ya zamani na Ofisa ofisi ya Makamu wa Rais Bw Willam Gama wakati alipotembelea Kwenye Maonyesho ya Nane Nane yanayofanyika Mkowani Dodoma kwa mujibu wa mdau Ali Meja ambaye anaendelea kutuporomoshesa mapicha haya.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...