UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies
P. O. Box 35091

Tel: 255-22-2410763/2410500-9, x.2326
Dar es Salaam
issashivji@cats-net.com


Dear Colleagues,
Following the announcement I forwaded to you earlier, kindly find below the program for Professor Mamdani's Public Lecture on 'Darfur: The Problem and the Way Forward'.

The venue will be Nkrumah Hall at the University of Dar-es-Salaam.

And the date is Tuesday, 19 August 2008.

See you there.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. NILIHUZURIA LECTURE MOJA KAMA HII MWAKA 2002 UDSM.WAFUATAO WALIKUWEPO
    MAREHEMU SITH CHACHAGE
    BALOZI CHIPO ZINDOGA (ZIMBABWE)BALOZI WA MALAWI ALIKUWEPO PIA
    ZITTO KABWE TULIKUWA NAYE PAMOJA KWENYE (UNIVERSITY STUDENT REPRESENTATIVE COUNCIL) BAREGU AND THE REST CAN NOT MISS THIS EVENT WITH DR XAVERY RUAITAMA.
    BALOZI ZINDONGA ALIKUWA MSEMAJI MKUU AKIELEZEA UMUHIMU WA SERA YA UVAMIZI WA MASHAMBA ILIKUWA INASIKITISHA , CHACHAGE LIIPOKUWA ANAONGE NIKAONA WAJUMBE WANACHEKACHEKA TU.SIKUWAHI KUFUNDISHA NA MAREHEMU CHACHAGE HUWENDA WANAFUZI WAKE WANAJUA JISNI YA KUNUHAMASISHA ASHUSHE MATERIAL.NIKAOMBA KUONGE NA HII NDIO SPEECH YANGU'LUGHA YA AFRIKA NI IPI BALOZI ZINDOKA KWANINI USITUMIE LUGHA YA KIAFRIKA KUELEZEA MATATIZO YA AFRIKA UNAAJUA KINGEREZA FASAHA UNACHOONGEA NDIO MIZIZI YA UKOLONI UNAOUPINGA? UKUMBI MZIMA ULIMITIZAMA MIMI KAMA NYOKA NIKAUMIA SANA NIKAJIONA MPWEKE ZITO ALINIPA MOYO KIDOGO. NIKAMALIZIA WATU WENYE UCHUNGU WANAONGEA NA MOYO WAO WENYE WANAONGEA NA MIDOMO YAO' KUMBUKUMBU YA MUASISI WA TAIFA ALIYRE IPIGANIA NCHI NA MAJIRANI SII KITU MZAA. MAANA YANGU KUU NI KWAMBA KUONDOKANA NA MIZIZI YA UKOLONI MAMBOLEO KUNAHITAJI JUHUDI ZA MIAKA MINGI NA UMOJA WA KWELI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...