Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed shein akizungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Cuba wakati wa ziara yake nchini humo.Dk Shein aliwataka wanafunzi hao kuzitumia vyema nafasi hizo za masomo na baada ya kuhitimu warudi kulitumiakia Taifa lao.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof Jumanne Maghembe wakipita kuangalia mboga za majani ambazo zinatunzwa kwa kuweka mbolea ya asili na kutumia dawa za asili badala ya kemikali za kuulia wadudu ili kuepusha madhara kwa binaadamu katika eneo la Alamar nje kidogo ya mji wa Havana, kwa mujibu wa mdau clarence Nanyaro aliyetuletea picha hizi
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...