mie bado naskuti....
wadau mnasemaje?
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duuuuuuuu issah kwa kamba eti kafika bei au we ndo unataka kufika bei kwake kwani mdau anaita kinoma isije tukasikia ooooooh issah kesha banjua
ReplyDeleteMichu tumekwisha kuwa watu wazima, sema tuu kama unatayarisha chuo cha pili ili tuanze kujikusanya kusanya na usitafute vijisababu vya fulanaz!!! Hongera Mazee kama nimelenga shabaha hapa.. tee hee (dRU)
ReplyDeleteUwekwe mnada wa fulaz na mafao yatakayopatikana yakasaidie kituo cha watoto yatima kurasini (kile cha serekali)au kituo chochote ambacho wanajamii watachagua
ReplyDeletekwani mganga wako anasemaje? mie nataka nimletee Zitto mashati
ReplyDeletemwambie akupe hiyo t,shert na yako akuachie siyo mbaya ila pia itapendeza kama akimuomba mkeo kwani mme wa mtu ni kitu cha mwenyewe anayekumiliki.
ReplyDeleteau wewe ukikuta mkeo kavuliwa blauzi na ji baba na akapewa mpya utajisikiaje??? tena wamepiga na picha ya mapozi ukiuliza nini ananijuwa kama mke wa michuzi utajisikiaje. nadhani umepata jibu la kheli.
WENDY LUPUMBE
ReplyDeleteMICHUZI WEWE UNA AKILI SANA SIKUJUA KWAMBA BIASHARA KWELI NI MATANGAZO!!!KWAHIYO ULIKUWA UNAVAA HIYO FULANA UKAJUA KABISA KUNA SIKU WATU WATAFIKA BEI!!KWELI HONGERA ZAKO MICHUZI..MDAU NORWAY
ReplyDeleteWENDY LUPEMBE
ReplyDeleteAnony 10:40pm Umeleng`a sana,ZITTO anaitaji msahada wa viwalo anakinoja kaukanikuvae Michuzi aoni ndani.Sikuizi picture zake nazijua kwa kiwalo chake cha juu.
ReplyDeleteWendy jasiri wewe! unajianika kwenye michuzi huogopi waosha vinywa? Ila umependeza mdogo wangu ndiyo maana unaconfidence humu.make sure hiyo fulanazz unaipata.
ReplyDeleteMICHUZI MMEPENDEZA HALAFU "MMELEGEA" WOTE WAWILI PICH MVUUTO HIYO.
ReplyDeleteMichu nadhani fulana siyo mmoja ni fulanz!!! Manake kila uivaapo haionekanani imefubaa na maji ya chumvi! Unazo kibao!
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya Tegeta unajuwa hiyo fulanazzz ilianza kama masihara lakini nataka uelewe sasa imekuwa ALMAHARUFU SANA sasa usijeingia mkenge Mh.DC kwa kuiuza kiuraini hiyo inatakiwa ifanyiwe bonge la MNADA na pesa zake zikasidie jamii au taasisi fulani.
ReplyDeleteHey Mnanihii wa nanihii ya nanihii!
ReplyDeleteNapenda kuwafagilia hao mablaza, wa juu mwenye suti, picha ya pili blaza wa kulia na blaza wa kushoto, kwa hizo suti zenu, mmetoka mchicha sana, that is exactly the way a suti should be worn! mmependeza, hakuna noma wala nini, give credit where credit is due. Kama vile mngefanya ile komasho ya Men's wear house,"you gonna love theway you look, I guarantee You" Keep it up.