Salaam !
Unakaribishwa kwenye semina ya neno la Mungu itakayongozwa na watumishi wa Mungu kutoka Tanzania
Ndugu Christopher & Diana Mwakasege.
Tafadhali sana fanya uwezalo na tunakuombea kwa Mungu ili usikose semina hii ya kipekee na ya baraka kwetu sote !
Siku: September 12-14, 2008
Wapi: DALLAS,TEXAS,
Marriott Residence Inn,
7642 LBJ FreeWay,
Dallas TX 75251.
Malazi na chakula vitatolewa bure kwa wale wote wanaotoka nje ya mji wa Dallas.Tafuta tu namna ya kufika ! Nafasi za kulala hotel mpaka sasa zimebakia chache sana kwa hivyo unaombwa kujiandikisha haraka kabla ya August 23 2008 ili upate chumba chako hapo Marriott hotel ...!
Unaweza kujiandikisha kwa kuandika email kupitia email adress hii :- KULA.MANA@YAHOO.COM
Au kwa kupiga simu zifuatazo:-
214-440-9674
469-233-6627
214-554-7381
682-552-6402
651-334-0163
678-982-2113
404-935-1615
312-823-5878
214-505-8514
978-726-2227
402-770-6376.
Njoo ukutane na nguvu za Mungu katika Semina hii ambayo inaenda kubadilisha maisha ya wengi....!! Mtaarifu na mwingine juu ya ujumbe huu...!
KARIBU-SANA
MUHESHIMIWA MTUMISHI WA MUNGU NAFIKIRI KWA KIZAZI CHA SASA HASA KWA NCHI ZINAZOSHINIKIZWA KUWA MASIKINI KAMA TANZANIA UNGEZIHUBIRIA KUHUSU UWEZO WA MUNGU KWAO KUWAFANYA WAWE WAVUMBUZI WA MBINU ZA KIJASIRIAMALI MAANA UWEZO WAO NDIO UTALIJENGA KANISA NA LIWE KUBWA DUNIANI.HIZI MBINU ZIKO WAZI NA MUNGU HAMNYIMI MTU ILA KUNA MAZINGIRA YA KUZIFUNGUUA. KWA MFANO MUNGU ANAKUANGALIA JEE UNAPEND MWINGINE APATE YAANI WIN /WIN WEWE UNASEMA HAPANA UNAKUWA WIN /LOSE. YAMA MUNGU AKIANGALIA MIZANIA YA MOYO WAKO AKAKUTA WEWE UNAPENDA WENGINE WAPATE PIA ANAKUONGEZEA MARA DUFU NA MARA ZOTE. MUNGU ANAKUKAGUA ZAIDI PALE UNAPOONYESHA UPENDO KWA VIUMBE WENGINE ALIOWAUMBA. UWA HANA KIPIMO KINGENE CHEPESI SISI KUKIJUA ZAIDI YA HICHO. KWA HIYO TUWATENDEE JINSI AMBAVYO NA SISI TWAPENDA KUTENDEWA.
ReplyDelete