the kilimanjaro band a.k.a wana-njenje bado wako juu kwa sana tu, ushahidi ukiwa wingi wa wadau wanaofurika na kuduarika kila jumamosi katika ukumbi wa new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani. hivi sasa wana vibao vipya kama sita hivi na hawana haraka ya kurekodi hadi vikolee kama kawaida yao. kumbuka bado wako katika sherehe za mwaka mzima za kutimiza miaka 35 toka bendi ianze. hongera babu njenje na wenzio kwa kuendeleza libeneke

Kuna yule mdada ana sauti tamu sana kama sijakosea anaitwa Nyota Waziri.
ReplyDeleteBado yupo?
michuzi! mi naona huo utaalamu unaotaka uweke kwenye blog yako ni unnecessary ndo maaana blog yako ina matatizo~! we 2lia 2 na hii hii, mambo fancy yanahitaji gharama!
ReplyDeleteThanx mdau Issa Shuk!
Dirty South!!
Michuzi wewe mbaguzi sana wa habari,tumetoa malalamiko kuhusu watu wa posta,na nimekutumia malalamiko hayo kwenye email yako lakini hukuweka hewani..unaogopa nini kama ni mwandishi wa habari?acha ubaguzi bwana
ReplyDelete