mdau Abbas Byabusha bada ya kula nondozzz zake za PHD in International business Adm. chuo kikuu cha Warren Uiversity huko NewYork, marekani, katika hatua ambayo inatia moyo na ya kujivunia sana.






hizo picha zilichukuliwa na mdau wa New York kwenye mahafali ambapo Dr. Byabusha anaonekana na maprofesa wake.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. SASA UNIVERSAL VIRTUAL UNIVERSITY WORLD SUUPPER SOLVENT UNIVERITY ITAANZA KUMWAGA HIZI DEGREE KWA WATU WA KAWAIDA WATAKAOENYESHA MCHANGO WAO KATIKA VIPAJI MBALIMBALI YAANI IVERTION-INNOVATION-CREACTIVITY

    http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14619

    http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=16414

    http://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=558018

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Dr. Abbas Byabusha! All the best in your future plans!

    Mdau,
    Gothenburg, Sweden.

    ReplyDelete
  3. Safi sana Muhaya huyo.Wahaya oyeeeeee.Onyegeree Byabusha mwana waitu

    ReplyDelete
  4. Hongera mdau, ila ukajiunga na ufisadi kama utarudi bongo kwani wasomi badala ya kuendeleza nchi wana-mind ufisadi. Mifano ipo mingi bongo. Ma-lecturer wanatafuta viji-project sio kuwanufaisha wananchi bali ni ufisadi mtupu!

    ReplyDelete
  5. ZITAMWAGA BILA KUINGIA DARASANI? MAELEZO ZAIDI PLEASE.

    ReplyDelete
  6. Samahani wadau hivi huyu Tumaini kichwani yuko sawa au amepungukiwa kidogo. maana nimekuwa nikifuatilia maoni , kila aliyowahi kutoa yeye ni vitu visivyoeleweka au saa nyingine ni pumba tu au ndiyo comedian wa blog? He is full of nonsense/ his comments are full of rubbish.

    ReplyDelete
  7. KAKA KAMA USHAMILIZA KUSOMA NJOO TULE VUMBI HUKU BONGO.HUKU KAZI ZIPO ILA KAMA UNAJUANA NA WATU AU KAMA HAUNA MKONO MFUPI.NI HAYO TU

    ReplyDelete
  8. Hongera sana mdau...
    Babao

    ReplyDelete
  9. huyu DK.anatisha inaelekea shule yake si mchezo,maana hata nanihii yake hapo kati ya hao jamaa anaonekana kama mgambia vile au mtu wa equatorial guinea au guinea bisau.nafiki mnanipata wadau au mnasemaje?namaanisha ukiwa na mwanao hataki kula au kumeza dawa hasa klorokwini ukimwita huyu DK. lazima mtoto atazimeza fasta!usimind DK. nivijimambo tu uma ufurahi!!!

    ReplyDelete
  10. ANNON AUGUST 3 11:28 ULICHOSEMA NI SAWA KABISA KULINGANA NA UPEO WAKO WA KUFIKI KUAMUA NA KUTENDA KWA VIWANGO VYOTE. ANNON 11:04 ITATOLEWA SHULE NZITO KATIKA MTINDO RAHISI SANA HUWEZI KUAMINI TUMEPITIA MITAALA TUMEWEZA KUCHAMBUA NONDO KATIKA MAKUNDI MENGI MFANO KUNA NONDO ZA KURIDHISHA MATAKWA YA MAPROFESA WAKO NA NONDO ZA KUTATUA MATAMTIZO YA WANANCHI WA KAWAIDA, HIZI NONDO TUTAZIMWAGA KWA WATU WATAKAO TOA MICHAKATO YA MATATIZO YA IDADI YA MAMIA KWA MAELFU YA WANANCHI. HIZI NONDO ZITAJIKITA KATIKA HAWA FREE SCHOLARS WHO SIMPLFYIES PEOPLES LIFE I MALTIPLE WAYS AND MEANS

    ReplyDelete
  11. Anon wa 1:40AM na mie nakuunga mkono. Jamaa kidogo sura mashallah kiaina, lakini ndo keshajinyakulia PhD. hongera sana. basi itangaze bila wasiwasi. ila ndugu zetu wa kule pande za kaskazini ya ziwa victoria kwa kweli naombeni tuache kuringa na tuwe na heshima kwa watanzania wenzetu hata kama hawana PhD. mnakuwa too proud hadi mnaharibu radha nzima ya nanihii. Inasikitisha sana mnapokuwa mnaonyesha dharau kwa watanzania wenzenu na kuwapapatikia wazungu. tuweni na umoja na tuache ukabilazation. tufundishane jinsi ya kupanda juu. yangu ndo hayo tu, nyegera waitu to the real world.

    ReplyDelete
  12. Huyu jamaa ana undugu na Mizengo? They look alike. Congrats

    ReplyDelete
  13. Hongera Dr.Abbas

    ReplyDelete
  14. namunga mkono anon mmoja hapa.., I really do not understand tumainis writing!

    K

    ReplyDelete
  15. mpatie huyo jamaa my address aniandikie tulikuwa wote kwa kishoka ukitaja tu kwa kishoka ataelewa! na Hongera zangu! lakini arudi home kwani bado kazi kibao wanaokataa kurudi eti Hakuna Kazi ni waongo na na hawana veti kamili!

    ReplyDelete
  16. Nani kasema hakuna kazi acha uongo wakenya na waganda wote wanakimbilia Bongo maana ndio NYC yao we unasema hamna kazi unaogopa kurudi home maana for the all years umekuwa hapa ujaingia shule upata hata kadegree sasa utarudi vipi maana watu wanajua unasoma kumbe una...sisemi alafu other wanaingia vyuo fake za waganda wanugu na wakenya hapa he he he Gosh poleni ukimaliza Nondo yako geuza bongo achana na watu wasiokuwa Gamba waendelee kuwalipia wazawa tax watanue

    Nawasilisha

    ReplyDelete
  17. Hongera Dr Abbas,

    Wadau mnao muulizia Tumaini, mpo karibu na ukweli. siwezi kusema ni mgonjwa ila nakumbuka mental stability yake ni ya kutia mashaka. Wakati fulani akiwa pale FoE UDSM alishindwa kuendela na nyanga maana CD zilipandiliana. Nahisi akipata stress tu inakuwa shida. Pia nahisi amepata hali fulani hivi ya mfadhaiko wa Elimu, maana baada ya wazee wa pale FoE ku mdisko, alihisi ameonewa, basiamechukia kabisa kusikia mtu amepata Digrii, ana amini yeye ni intellectual asiyefundishika.

    Asante

    Mdau UK.

    ReplyDelete
  18. wataka wasitake hiyo nondo yako kaka phd(heshima),achana na vibitoz ivo vinaleta mambo ya uzuri mkiitwa mananihiii!mnakasirika.

    ReplyDelete
  19. ANAYO ONGEA TUMAINI NI KWELI KWELI KABISA.TURUDI NYUMA WASOMI WA KWANZA WALIKUWA WANASOMA WAPI?KAMA SI CREATIVITY NA INNOVATION.MSIMWONE TUMAINI KAMA BUNGUANI.MIMI NAONA MMEJITUKANA WENYEWE.

    ReplyDelete
  20. Mdau UK nashukuru kwa kunijibu swali langu, at least when I read Tumaini's comments I will know what to expect from him. Mwanzoni nilikuwa nafikiri he is mentally stable, then I started to querry about his mental state due to his sarcastic, irrelevant, mis-spelt and pointless comments. I recommend him to seek help from a psychiatrist, psychologist or a counsellor before it is too late.

    ReplyDelete
  21. nashukuru mungu kupata mautographer wa kumwaga yaani wenye kuelezea wasifa wangu. hii ni neema jamani asanteni sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...