mie na faza kidevu tukiwa na mdau subi toka arizona aliyetutembelea ofisini leo
nikiwa katika dina la mchana na mdau subi na wadau wa nssf break point ya mjini
nikikuonesha mitaa mdau subi leo. mdau huyu maarufu na mpenda kusaidia wadau wenzie anapatikana www.nukta77.com na www.nukta77.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Umevaa ndala la soksi kwenda kumpokea mgeni? Au ndio kupambana na umbu.
    Ninaonavyo Michu hiyo ni kiatu cha kuendea chooni na bafuni. Najua kutokana na ugumu wetu wa maisha huwa pia tunatokea kwenda nayo out. Lakini wewe kutokana na hadhi yako nadhani ungeweza kuvaa vizuri zaidi especially kwenye ugeni.

    ReplyDelete
  2. Michuzi kwa kupenda kula bure hujambo, umeshaenda Brake Point ..nasikia siku hizi unakula bure pale baada ya kuwatangazia online biashara yao...wakikuona tu wahudumu wanakupa chochote unachotaka makange bure, una raha sana,.....

    Sijajua tu kama kuna wahudumu wa kike hapo usije ukawa nao unayaka kula bure........

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza... viat viko kwa shoe shine.. Yaani hata hutaki kushughulisha akili yako kidogo kujiuliza kwanini kavaa viatu na soksi?

    ReplyDelete
  4. Duh we anon wa kwanza mbona unambana misupu,hujui tuskuna twake tunapigwa sop sop akitoka ameremete kaka hapendi vumbi...

    ReplyDelete
  5. Halafu Michuzi huyo nuka77 mbona mfupi hivyo halafu mwili kama wa mtoto wakati mtu mizma huyo how come..
    Isije ikwa huko anakotoka anakaa basi tu kwa kuwa ni ng'ambo halafu maisha magumu mlo mmoja kwa siku kubeba maboksi au kuwaogesha wazee...please naona arudi bongo tu moja kwa moja mi nimwajiri kwenye duka langu la vifaa vya shule atakuwa safi na mshahara mzuri ale ashibe enenepe..

    ReplyDelete
  6. halafu Mizhuzi usipende sifa za kupenda penda vitu vya bure..huyo jamaa anayesema hapo nasikia anakuona kila siku unaenda kula Brrake Point hapo bure kwani offer ulopewa inaisha lini maana unamtia hasara mwenzio anaogopa tu kukufuza...uwe unalipa siku nyingine...kuna siku nimekuona hapo umefika tu ukapewa makange na soda ...ukamwambia muudumu akupe bia ...muhudumu kakutoa nishai

    ReplyDelete
  7. Mzee Kasembo, Magheke, Oscar na Onasia naona mnapata msosi wa nguvu bila lager!? Anyway ngoja nitume paund kidogo kuokoa jahazi....

    Mdau UK

    ReplyDelete
  8. Ashugulishe akili wakati mbu mbu sio kila mshika keyboard kasota kwenye madarasa alishindwa ku-reason kitu kidogo tu ninavyoona mimi Michuzi alikuwa anapata nguna ya mchana hapo sasa was also meeting place na mgeni wake, akampokea na kwenda kumpa misosi kama kawaida ya waungwana, alafu wakatia timu office.
    Mkijitaidi hawa wakuu wa wilaya, jiji na mkoa wakiweza kuweka Dar safi yaani kukanyaga chini au vumbi iwe hadithi mbona hautamuona Michuzi akitoa viatu kwenda kwa shoe shine.
    Kitu ambacho kinawezekana kabisaaa kama Kosovo wanaweza itakuwa sisi bwana Tanzania tajiri si basi tu.

    Nukta asante kwa kazi nzuri ya site na blog yako keep it up good thangs babe, safiii yaani hizi nyimbo za zamani ndio zenyewe viminuso huku hapa nasikiliza Kipenda roho na Remmy dah!Tumetoka mbali
    Londoner matembezini Ibiza

    ReplyDelete
  9. Subi

    I can't wait to hear all the gossip of your trip. It is good to see that you finally track Michuzi and Kidevu down.

    Tell Michuzi I am waiting for my invite.LOL

    ReplyDelete
  10. Ma-annon wengine bwana eti wanataka kumwajiri kwenye viduka vyao ili anenepe... Nani kakuambia unene ndio afya? Mdau Subi anaweza kukupatia elimu dunia kuhusu unene vs afya maana yeye ndio kabobea kwenye fani hiyo.

    Halafu unasema utamlipa pesa nzuri ukimwajiri kwenye kaduka kako? Shame upon you!! Mshahara wake wa miezi miwili unazidi profit yako ya mwaka mzima na unatosheleza vilevile hata kuwalisha balanced diet mashangazi, wajomba na hata wajukuu zako kwa mwaka mzima.

    Kabla haujaanza kusagia watu inabidi uwe na dataz kwamba watu hao wanafanya nini huko majuu.

    Pole sana.

    Mdau wa ex-Kagera B

    ReplyDelete
  11. Hivi kaka Michuzi umeshawahi sogeza pua yako karibu na hizo ndala za shoe shine? If not, nakushauri usijaribu.......

    ReplyDelete
  12. sio mbumbumbu bali ni huku tuliko ukiona mtu ametoka out ana ndala na soksi unajua wazi hakumeza vidonge vyake leo na kaa chonjo asije akakulipua. Wengine nadhani tunavaaga tu viatu shining mara moja kwa mwaka. Msamiati wa shoeshine ulinitoka kabisa. Maanake nilifikiri mpaka ukaenda hoteli na kandambili na soksi.
    Hivyo kwa uungwana Michu naomba niseme samahani kuumbe viatu vinang'arishwa.

    ReplyDelete
  13. cPoa sana wanablogu kukutana uso kwa uso inapendeza sana.Hapo Break Point naona ni mwendo wa vyoda tu!

    ReplyDelete
  14. Safi sana dada subi kwa kututembelea nyumbani.

    ReplyDelete
  15. Duh Mdau nafurahi kuona walao Taswira yako maana tuawasiliana tuu nikajua ni pandikizi la Jimama
    Duh, kila la heri na vakesheni yako
    Mdau wa Spoti na starehe

    ReplyDelete
  16. big up nukta 77. mambo moshi hayo

    ReplyDelete
  17. MIE HUPENDELEA KUVAA KANDAMBILI NIKITOKA/KIENDA "KITANDANI" AU "BAFUNI" (UWANI)

    ReplyDelete
  18. Hongera sana kaka Michuzi na da Nukta77 kwa jinsi ambavyo mmetoka
    ukweli uko pale pale kwamba mnatisha na endelezeni libeneke la ICT msiogope mimacho ya watu ,big up na stay blessed..

    ReplyDelete
  19. Ha ha ha ha !!! Michuzis peace sign at the back of Subi's head makes the classic "devil" joke shot.
    He also got it spot on.
    Lol @ Michuzi and his slippers with socks on.

    Keep up the good work. Nice blogsite.

    ReplyDelete
  20. Hata ukisema unavaa kandambili ukienda sijui wapi na wapi it does't matter buddy ukweli ni kwamba nchi zote africa zina vumbi na hao wang'arisha viatu ndio hivyo tena sasa kama wewe ujui Africa sema unachotaka maana naona unajifanya msamiati... sijui as if u got...IoI haya bwana kama Tonie Braxton na Tyson walikuwa juu na wako broke leo! siku moja unaweza kuwa anakula jeuri yako ya kujifanya hauna connection yoyote na Bongo
    Subi fanya mambo Michu leo muneno
    Tumaini una maana gani unavyosema mambo moshi hayo
    Londoner

    One ma way to Emirates Gunners vs Juve

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...