wadau kunradhi. nimeshuhudia wadau wengi wakinyoa nyusi. hii imekaaje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Mh! Mungu wangu....

    ReplyDelete
  2. Michuzi hiyo IMEKAA VIBAYA SANA.

    Richard.

    ReplyDelete
  3. Please don't try this at home.

    ReplyDelete
  4. Kwani wewe unaona imekaaje? jaribu unyowe zako halafu subiri matokeo! kama utapendeza ukapendwa poa ...but kumbuka zawadi ni zawadi hata ukipewa shingo ya kuku...chukua..

    G7
    UK

    ReplyDelete
  5. STOP!
    Now, this is old skool... kunyoa na kiwembe haswa? Hebu tembeeni muone maendeleo sio kunyoana na viwembe ambavyo kanyolea mtu mwingine.Ndio magonjwa hayo. Wax is better.

    ReplyDelete
  6. Wahenga walishaiona hii: Ukitaka uzuri sharti udhurike.

    ReplyDelete
  7. Hili swali lako halieleweki vizuri. Ila kama una maana 'hao wadau' ni wanawake kuna tatizo gani? na kama una maanisha ni wanaume - kwa mzingira ya Tanzania- jiandae kuposwa!!

    ReplyDelete
  8. unajua haya mambo vijana wengi wa sasa hawayajui,sisi tulio kulia uswahilini tukiona mambo kama haya mate yana kudondoka wallah, nasia utamu. safi sana.

    ReplyDelete
  9. Na kama wax huwezi basi twizas jamani, eh!

    ReplyDelete
  10. Mwaka 1995 nilivamiwa na watoto wa wakoma(homeless) pale mwanza kwenye dalaja ukipandisha kuelekea Delux.Yaani ninavyoogopa hiyo siraha!!!la la la!!Wao waliita topaz!!Wewe michuzi wewe!!Yaani nakumbuka vijisenti vyangu walivyonichukulia.Na ni mkono huo huo ndo ulikuwa umeshika kile ki-topaz.Jamani eeh hatimae leo nimemkamata mwizi wangu.

    ReplyDelete
  11. jamani wengine sijui yanawahusu nini? we michuzi hiyo sura ya kiume hadi ujiulize na kutaka kujua zaidi?

    Na wewe unaeongelea kiwembe nani kakwambia viko adimu hadi utumie cha yule na yule... kwa taarifa yako viwembe vimejaa lukuki bongo unanunua chako unatumia.

    kwa taarifa yako bongo watu wanatumia viwembe, wax na hata uzi kulingana na mapenzi yako... usijitie kujua sana....

    ReplyDelete
  12. Hiyo mwake kabisa!! tatizo liko wapi?

    ReplyDelete
  13. jamani kunyoa nyusi kwa mwanamke ni kawaida kabisa ukienda saloon ukitengeneza nywele basi unaomba pia utinde nyusi yaani kunyoa nyusi mwanamke kujiremba bwana!

    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  14. mimi binafsi namshukuru sana mwenyezi mungu sijawahi kunyoa nyusi zangu hata siku moja tangu nizaliwe,na sijaona kama ninamatatizo ya kupendwa, na sasa nimeolewa na mme wangu hakika wengi wanatamani ila hana mda na mwaingine yeyote zaidi yangu.

    ninachowashauri kinadada wajiamini tu kwani kama wewew ni mzuri usiponyoa hizo nyusi itakupunguzia nini? au kama mbaya itasaidia nini?

    sisi binadamu tunamkosowa mungu nadhani ni makosa.
    kwani aliyekuumba anajuwa wapi kakupendelea hata kama watu hawatauona uzuri wako kwa macho yeye anajuwa kwama wewe ndiyo the best ktk wanawake.

    wanakwambia asie na hili analie. niwakati umefika kila mtu ajiamini mwenyewe tu. kiwembe nini bwana?

    ReplyDelete
  15. Mimi sioni tatizo, kila mtu anatumia wembe wake, ni fasta na hata haiumi. Na huku Dar asilimia kubwa ya wadada wanatinda kwa kutumia nyeme.......Uzi huwa unaumaaaaa!

    ReplyDelete
  16. Mi napenda NATURAL beauty, mwanamke akinyoa nyusi zote hanivutii, haswa wakipaka rangi juu yake... Napenda wakizitrim tu lakini zibakie. Hata Mungu amekataza mwanamke kushave off nyusi zake.

    ReplyDelete
  17. Michu hiyo mbona kawaida, karibu saloon nyingi za bongo uswahilini wanatumia hiyo, tena huyo bomba wengine wanaondoa zote na kupitisha ka mstari ka wanja, tena wanafanya wenyewe hakuna usaidizi kama huyo.....tembea uone.

    ReplyDelete
  18. hio imekaaa vibaya kabisa!!unyoaji wa salam ni kwa nyuzi na wax tu na kama huna basi ndo kuna hizo tweezers!!nyembe mtakatana macho bure shauri yenu, lol

    ReplyDelete
  19. Hiyo ingekuwa noma kama angakuwa anajinyoa ila anyolewa huyo, asikia raha atiii..., utamu rahaaaaaaa, utamu..,

    ReplyDelete
  20. Huyo mshamba anayejifanya hatumii topaz asituletee uzushi hapa,hizo wax na twizas kila mtu anazijua lakini mambo yote ze topaaaz jaribu uone mwanangu usipime laha mpaka ndani!

    ReplyDelete
  21. OOOH IMEKAA VIBAYA, OOH SIJUI NINI, NA NYIE WANAUME MTAPENDA MSINYOE MADEVU YENU YAKAE KAMA YA OSAMA? HEBU NIPISHENI......WANAWAKE WAMEUMBWA KUJIPAMBA....SASA MNATAKA WAONEKANE KAMA MADUME..... I WOULD JUST ADVISE TO USE TWIZLERS OR WAX FOR SAFETY PURPOSES, HALAFU ZINACHUKUA MUDA KUOTA.

    ReplyDelete
  22. mungu aliwaumba na nyusi sasa sijui mnaona alikosea au inakuwaje? aliewaambieni kuwa mkinyoa nyusi ndiyo mnapendeza nani? wewe kama uko ovyo hata ukizikwangua na chupa bado uko ovyo tu. nashangaaga na wengine huwa wanajitaidi kunyoa vinyoleo vya miguuni mungu alikuumba na hivyo vyinyoleo sasa ukivinyowa inamaanisha ukubaliani nae au?

    Mbega hapa

    ReplyDelete
  23. MIMI NILITAHIRIWA NA " WEMBE" KAMA HUO. "USIOMBE"

    ReplyDelete
  24. Mimi sishauri watu watumie wax. Nilienda kwenye saloon ya wa-asia siku moja Houston- Texas wakatumia wax, wakanyofoa nyusi na ngozi. Sitasahau na sitarudia tena. siku hizi naagiza Topaz from TZ zinakuja na ndege tena weweeeee!! mabo yote topaz bwana.

    ReplyDelete
  25. kwakweli ikizidi hapana mtu anazitoa zote anabaki km jini jamani, eti urembo, hebu muangalieni MAIMATHA, huo ni mfano mzuri wa kuonesha kuwa unakuwa kituko badala ya kupendeza, inshort inatia kinyaa na haipendezi, be natural wengi wa hivyo huwa hawajiamini sioni urembo wowote kwa yule mdada

    ReplyDelete
  26. viwembe haviko safe saaana,bora kutumia nyuzi hata kma inauma...beauty hurts

    ReplyDelete
  27. Wewe Mbega! Inamaana wewe hunyoi nywele zozote katika mwili wako?

    uchafu tu.

    ReplyDelete
  28. Hehehehe..let me update u jamani...!!!
    kunyoa nyusi..ni kunyoa tu wajameni..
    it doesnt matter umetumia wembe,twiser,wax,uzi...ili mradi upendeze..
    na hao wanaosema eti kutumia topas(wembe) ni ushamba ...SI KWELI!
    siku hizi kuna mpaka tatoo za nyusi tembea uone...
    KINADADA JAMANI TUJIREMBE TUPENDEZE,IT DOESNT MATTER WHAT UR USIN AS LONG AS IT GIVES U A SUPER LOOK..AND ITS A CLEAN SOURCE!!
    kwani huyo mdada kwenye pic ungekutana njiani ungejua ametumia topaz??????

    Mdau,
    Geneva,SWITZERLAND.

    ReplyDelete
  29. wewe ni mbaga magongo wacha ushamba wewe unyoi ata makwapa kweli mshafu ....lolo

    ReplyDelete
  30. heeeeeeeeeee jamani wewe anonymous hapo juu kwani umesikia hapa ni kurushiana matusi?me nadhani kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa kadri anavyofikiri ni sawa na kama wewe umeona alichosema sio sawa basi toa maoni yako kwa hoja zako na sio kurudisha maneno machafu
    tustaarabike jamani,mbona ustaarabu ni kitu cha bure tu.!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  31. Jamani mimi ni mwanamke....naomba msaada jamani....nina bwana wa kudumu...ila jamani kuna siku kwenye nanihii yake nikaona kakitu keusi kadogo mimi nikaamini ni kakovu ambacho kametokana na msuguano na nikichukulia siku mbili zilizopita tulikuwa hatujakutana...nikataka kuanzisha bifu akaniwahi kwa kunieleza eti kwamba siyo kikovu ila ni nyuzi zilizotumika kumtahiri miaka kama ishirini iliyopita na siyo jambo la ajabu kwake...na kweli akakitoa kile kitu.....jamani nikabaki kushangaa......swali langu kaka zangu wapendwa ni hili.....hivi kwani mapotahiriwa huko hospitali eti mnashonwa?.....yaani jamani nawaomba msaada mtu mzima mwenzenu!!!!please

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...