Dear all,
Last month I travelled to Kigoma for a 28 days holiday. I booked a 2nd class for avoiding unnecessary disturbances and inconvenience that might happen in 3rd class.
As I boarded in, I didn't believe my eyes for what i saw.
In a nutshell, please take a look at the photos i took that demonstrates the real situation of our today's train.
Note that at the moment the train is in the hands of a foreign investor.
Mdau Nsanze
Siwezi nikamuita huyu mwekezaji. Huyu ni mchuaji. Huwezi ukaanza kutoa huduma kwa uma kwa kutumia vifaa vilivyochakaa, bila ya kuvikarabati kwanza. Huyu kaja kuchuma akichoka atasema kafilisika. Masikini Watanzania..tuna kazi kubwa kwelikweli mpaka tuondokane na huu ukoloni mamboleo, tumefumbwa macho hatuoni..sidhani kama kuna nchi yeyote humu duniani ingekaribisha hali hii..
ReplyDeleteSOMETHING IS BETTER THAN NOTHING
ReplyDeletehalafu masela wanakuja kusema bongo tambarare wakati watu wachache tu ndio wanafaidika na huu ufisadi; yaani hata wangejaribu kutuficha basi..
ReplyDeletehaya wazee wa ufisadi.tumeshuudia vile mnavyozidi kuibia nchi kwa kuweka mikataba mibovu.na mfano hai ni kama huu wa second class wa behewa la usafiri wa treni,hii ni kali heri enzi ya nyerere kuliko uongozi wa sasa.yaani wanasiasa mnahujumu nchi kwa kila hali na mali,yaani hii second class hafai hata kuweka mbuzi na kondoo.alafu watu wanasema bongo tambarare,mimi naona na afadhali wazungu warudi kututawala,au sivyo tutabaki minus zero kwa ujinga wetu na ufisadi wa kijinga na rushwa isio na mpango...sidhani kama tutaendelea kjamwe..ng'oooo...labda mzungu atuongoze..kama wana siasa wenyewe ndio hawa wa sasa..mungu tunusuru
ReplyDeleteTunapowaingiza ubia wahindi tunategemea nini? Maana wao wenyewe treni zao wanashindwa kuzi control, utawaona wanatema mate ya matambuu, kunya pembeni ya reli, viti kama hivyo. Kwa hiyo tusitegemee best kutoka kwa wahindi, wao ni mafisadi tuu wanaoshirikiana na viongozi wengine wa kibongo, akiwemo mh. rais. Sasa huu ni upuuzi gani huu? Tuna burnings issue kibao kama hizi ambazo haziangaliwi, matokeo yake viongozi wanafuatilia mambo mengine ya upumbavu. Ukabaila uanendelea kuota mizizi, ambayo ni mibaya sana kwa nchi zonazoendelea. Kwa watz masikini ndio wanaoumia kutokana na serikali kutokagua miradi, mashirika, viwanda ambavyo vinabinafsishwa kama vipo kwenye viwango vinavyotakiwa. Na nyie waandishi wa habari kwa nini mh. rais anapokua ziarani haulizwi masuala kama haya? We michuzi kama jina lako lilivyo husemi kitu, maana umeshapewa uraji wa mkuu wa mkoa huwezi kuleta ngenje kabisaa. Kumbuka ulivyokua ukranda na kamera yako kupiga watu picha YMCA, mitaa ya UHURU, Kariakoo ukichalanga njuga. Waambieni hao mafisadi wenzenu wanayoyafanya na hao wadosi noma, mnataka watu wachoke zaidi washike mtutu? Jihadhari kabla ya shari, tusipoangalia tutafika huko, maana amani yetu inabidi tuinyenyekee sio kuiachia ipotee. Kwa matendo kama haya, watz watachoka muda si mrefu.
ReplyDeleteUnalalamika nini????Bongo tambarare.Hayo mambo madogo.Ungekata third class.
ReplyDeleteDear Traveler,
ReplyDeleteIt is very sad to see the state of our train condition. However I must say that it is not the fault of the investor. Tanzanian government failed to run it efficiently and therefore requested outside help in trying to improve the service. So please direct the blame to our government since they are the ones who have failed to take care of the trains since the Chinese government donated the technology, money and manpower to set up most of the rail network in Tanzania.
Like most gifts, we are incapable of taking care of it. I doubt the national stadium, whose renovations were also paid for by the Chinese, will be in a good shape in the next few years. I hope I am wrong.
Man we lala tu hapo endeleza libeneke,we ukisema hivyo si 3rd class tutasemaje,SO we jiachie vya kutosha 2nd class
ReplyDeleteYaani kama unaota kweli nchi wanaikongoroa,inamaana wao wanachojuwa ni kutia hela mfukoni tu na sio kufanya ukarabati.
ReplyDeletebora nikodi farasi anipeleke kulikoni kupata Tb humo ndani ya train iliyooza.
au kama wao wajanja si bora watoe huo uchafu waache chuma kitupu itakua kheri kuliko mtu ulipe hela halafu upate Tb. yaani ununue ugonjwa.
daah pole sana mzee,this is sad ,i was looking forward to take one of my foreign friend ,as he has always wished to take this journey and now im thinking its would just be a lot of drama,how long is the trip ,days??and how much did you pay for that? again its a shame.
ReplyDeletemimi nafikili shirika hilo limeshindwa kuboresha huduma zake sasa ninashauri watoe masponji yote na vyuma hivyo kama vitanda,ili kwa wale abiria wa daraja la pili aende na mkeka wake, au akifika itigi anunue jamvi.Pia nafikira kama daraja la pili ni hivyo basi, darajala tatu itakuwaje? nafikiri abiria wana kalia vyuma vyenye kutu!hivyo ninge washauri abiria waje na vidoga vyao au nao wanunue viti vya marimba saranda,ukiwa ujapnda panda na nyenzo, kwa akina Mama wajifunge khanga zao washike bomba,kwa kina Baba anavua mkanda unajivingilisha mkononi na kwenye keria unashika bomba,jina la shirika lina badilishwa na kuitwa Gari moshi la Danganyika! (Gari moshi la jadi),kuvutia Watalii toka nje!!ili wawekezaji na serikali wapate pesa Zaidi.
ReplyDeleteYaani ni Aibu si bora wakampa Mtanzania Hii kweli Tanzania Zaidi Tuijuavyo?Embu Ona jamani Ufisadi gani huuu?Muhindi kwao India Train zao ni kasheshe kama kweli wanataka Usafiri wa Reli uwe makini naomba mtafute muwekezaji mzuri huko England wako kina Virgin train mnashindwa nini?Wahindi hao wanyanyasaji tu jamani hili tunaomba Mheshima Raisi liangalia ama sivyo wale wajinga tumeshaamka sasa
ReplyDeleteACHA TU MTANZANIA MWENZANGU HIVI KWELI NDO MUWEKAZAJI HUYO WAACHENI WANAFUNZI WASEME KIAMA CHAO 2010,WANAKABA HADI PENALTI MAISHA BORA KWA KILA FISADI WAO SI WANAPANDA NDEGE BWANA HILI WATALIONA SAA NGAPI?HAYA WAZIRI MKUU MH.PINDA ,MH.ZITO,MH.SPIKA USAFIRI WA KWETU HUU JE NI HALALI?HAWA NI WAWEKEZAJI KWELI?
ReplyDeleteMbaya sana hii. 2nd class looking like hell class.
ReplyDeleteWhich foreign investor is this ?? Corruption noma sana.
Jamani wadanganyika huyu muhindi anatakiwa anyang'anywe hili shirika haraka iwezekanavyo asijelifanya kama la idia ampako huwa kuna hata mavi kwenye mabehewa muwekezaji gani anajali maslahi yake tuuuuuu nayawahindi wenzie. Huku tanzania tumestaarabika kabisa ila tusipo angalia vizuti hawa wahindi watatupeleka pabaya ninampa big up sana marehemu nduli idd amini kwa kuwamwaga baharini atokee tena mpinzani mwingine akamate nchi awafukuze wote kwa muda wa sekunde moja sipati picha itakavyokua
ReplyDeleteWajinga ndio waliwao!!
ReplyDeleteKazi kweli kweli.
Ignorant, Jeremani
Michuzi ili goma limechoka kishenzi,ilitakiwa apewe mwendeshaji mwenye nguvu ya pesa siyo wababahishaji kama ilivyo sasa.
ReplyDeleteDuh hii kali, kunasiku watatangaza mkiingia humo mutereni mje na tuvirago twenu na mikeka...pakukaa kalieni mafurushi yenu .
ReplyDeleteTafadhali tumia kiswahili maana lugha ya watu bado haijatulia kabisa.
ReplyDeleteHow much they charge for a ticket to be in that room?
ReplyDeleteYou didn't catch a bed bug? I am speechless.
Those investors are just thugs, thieves and day robbers, what a shame is that, and the government just closing its eyes as if they don't see that! at this
ReplyDelete21st century! even trains carrying cows not in Europe just in BOTSWANA are nicer than that! shame on you guys in power, day in day out on the political platforms you keep on saying that the Tanzania economy is superb!!!! eeee that way? KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO, TANZANIA KUNA AMAN! NDIO HIYO AMANI!!
Stop being silly, why don't you hire a plane or first class train coach?
ReplyDeletePambafu.
NCHIDIDE
The funny thing ni kwamba kuna watu wanaandika as if kuna wahusika wanasoma. Umeme hamna, bandwith mbovu, kusoma e-mails au blog... sio routine ya majority... atakwambia (sijasoma e-mails kama mwezi sasa hivi)!!!!IoI How can u rectify mambo kama haya?
ReplyDeleteMajority macho kwenye magazeti na sio huku (online) ujumbe utafika vipi? should we start petition? Maana mtaandika weee alafu mada inaenda chini inakufa hakuna cha kufuatilia. Hii inasikitisha kwa nchi yenye utajiri wa hali ya juu kama yetu ila as one mdau said ni connection toka huko juu na don't expect any changes kama unabisha tuma undercover 3 months from now kama utaona changes. For God sake unampa mhindi si afadhali virega wa kibongo wajipange! hakuna kufika kwa staili hii nooo tunadanganyanya, I have to think twice in every decision toka sasa hii noma aibu na ustaili kusimama mbele ya wananchi. Virgin anatafafuta pa kuwekeza changankeni.
Londoner
Duuuh sasa muwekezaji wanini? siafadhari tuendelee na treni yetu wenyewe utafikiri treni za india. sasa hicho kiti siunaweza kupata ugonjwa wa pepopunda,
ReplyDeleteHawa tunaowaita wawekezaji zamani tulikuwa tunawaita makupe na mabwenyenye. Wanataka kuvuna wasipopanda, wanakula jasho la wenzao.
ReplyDeleteZamani tulikuwa tunawalaani, siku hizi tunawaombaomba. Ndio ujamaa na kujitegemea kisasa hivyo.
HAO WALIOCHUKUA "WALIOINGIA UBIA" WAMEIAMBIA SERIKALI WATAILIPA KADRI WANAVYOPATA /INGIZA FEDHA. KAMPUNI YA SWEDEN AMBAYO WALITAKA WAIBADILISHE "RELI YA KATI" IWE YA "KISASA ZAIDI" HAWAKUPATA TENDA KWASABABU HAWAKUTOA "HONGO" WAHINDI WANATUMALIZA.
ReplyDeleteYEAH Bongo kweli Tambarare lakini mie naona mabonde na minuko ni mingi sana kulikoni sehemu tambarare..ikijengwa nyumba ya gorofa kuanzia 12 basi inawekwa kwenye blog eti bongo tambarare..jamani kweli tuko nyuma sana it is so painfully for things which happening in Tanzania now days....yaani can you imagine Tanzania ndiyo nchi ya mwisho kwenye east african kwa GDP waganda waliokuwa duni within 15 years wamepandisha uchumi kutoka 8 USD billion mpaka 47 USD billion sisi tunajikongoja tu ..eti bongo tambarare tatizo letu siku zote ni kuridhika na vitu vidogo vidogo ndiyo maana tunapiga marktime..
ReplyDeleteMie siamini kama serikali ingetayarisha business plan project na kuitafutia investors project kama ya Transportation(railway)wange kosa investor siyo mambo ya kubabaisha.. mtu kakatiwa chake mhidi kapewa muda wa kukusanya hela yake.. watanzania tumekaria udaku eti bongo tambarare..(Nimesoma kwenye blog hii eti bongo siku hizi kazi nyingi watu wanatoka kenya , uganda kuja bongo kufanya kazi jamani tunazalisha ninikinachangia kukua kwa employment mpaka watu wakimbilie kwetu kama siyo kuji-please wakati unemployment officially 15%...logic iko wapi hapa kama Uganda economic growth rate ni 9-10 , Tanzania ni 4-5 tambarare ni wapi sana kwenye shimo au kwenye mwinuko.....
Mdau wa Karagwe..(D)
DUH! Yaani ni mabahewa yale yale tangu nasoma Tabora Girls miaka ya 80 mwanzo! ZERO MAINTENANCE!!! Basi na chooni msiende si balaa huko!
ReplyDeleteBro Michuzi anzisha gazeti, na ingia ubiya na mdogo wako. habari na comments kama hizi ziwafikie watanzania wengi. Watanzania walio wengi bado ni maimuna kwa mabo ya computer na pia "access" ya mtandao pia ni finyu kwa walio wengi. Siye tutachangi kwenye mada zinazo mgusa au tugusa watanzania, kama hii hapa. INATIA HUZUNI NA HURUMA. Maana hali haikuwa hivi hata siku moja tangu miye naijua treni ni nini. Kwa taarifa ya waliyo wengi, nimetembelea India hivi karibuni, nilichojifunza kwa haraka ni kwamba Tanzania imeiga vitu vingi sana na sasa hadi ujanja ujanja wa kishenzi wa wahindi yaani ufisadi na unafiki!!!! ONA SASA HII AIBU TUPU. UNAWEZA KUIKANA NCHI YAKO HIVI HIVI, BILA KUJIJUA!!!!TUTAANZIA WAPI KAMA MAMBO NDIYO HIVI YANAVYOJISOKOTA!!!
ReplyDeleteooh man! hii sio nzuri jamini.. mbona hali mbaya sana bongo.. halafu wahusika hawajali kabisa just bcoz wao wanapanda ndege na magari yao yaKifisadi.. i dont know, lakini tunakoelekea siko kabisa!
ReplyDeleteNaungana na hao wadau hapo juu. kama siyo gazeti basi kaombe dakika 20 kwa redio ya taifa.tittle wasemavyo wana blog,wadau. jina liwe la kiaina ili ukijafikishwa mahakamani useme siyo wewe ni wana blog. hii itaamasisha wnanchi wengi kutumia hii huduma. haya nimeshakupa hints za presentation yako kashindwe mwenyewe.ikiwezekana pia tumia tv. toa mada a week before ili upewe mapoint. but uwe na ulinzi kabisa usije kuwa kama jill dando. wa uk mnanipata. changamka chuzi take us to another levelman ndo maana hata chibiriti anakuja bongo watu wanauliza huyu ni nani. juu ni cyber celebrity.take us to another level man.na kwa kipindi chako lazima uwe na mdau like manka or muuza sura yeyote yule.
ReplyDeleteSitakaa nipande hii treni ni bora nikatize mguu kwa mguu kijiji hadi kijiji nikomba maji ya kunywa na kulala kwa watu kuliko hii ambayo mara ufikapo kigoma unakifua kikuu hata hujui umepata wapi.
ReplyDeleteSasa najua kwa nini watu wanasafiri na pikipiki zao
ReplyDeleteLondoner
Sasa huyu mwekezaji si alikopeshwa Billion tatu na serikali ili aboreshe huduma, sasa alichoboresha ni kipi? Nakumbuka Mheshimiwa Mizengo Pinda ndio alitangaza uamuzi huo wa serikali. Ama kweli Wadanganyika ndio waliwao.
ReplyDeleteMdau,
Gothenburg, Sweden.
Umenena warudishwe wazungu sisi hatuwezi tukipata ni konyagi kesho tunaanza upya hatuna akili nyingine ila pombe,wizi,uvivu, uongo,vya dezo na kuzagaza ukimwi kiulaini,na punda bila kiboko haendi.
ReplyDeleteNamuunga mkono Chemmi. Labda kama kumbukumbu zangu zinaanza kuingia mushkeli (Uzee!) ama labda kama Railways wana kawaida ya kurudia namba za mabehewa lakini ukweli hili behewa la second class namba 2227 nakumbuka kabisa kulipanda miaka kati ya 1978/82 wakati nikija Dar likizo kutoka Kigoma nilikokuwa nafanya kazi!!!!! Jesus!
ReplyDelete