cheki mambo yake kwa kubofya hapa na http://www.johnlegend.com/
cheki mambo yake kwa kubofya hapa na http://www.johnlegend.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Matunda ya Leon Sullivan Summit
ReplyDeletejamaa huyu huwa nampenda sana mimi ni mmoja ya washabiki wake
ReplyDeletemchuzi msalimie
jamaa huyu huwa nampenda sana mimi ni mmoja ya washabiki wake
ReplyDeletemchuzi msalimie
Hv dar kuna baridi kihivyo? mbona hao majamaa wamevaa majacket?
ReplyDeleteRuge hiyo inatiwa “coincidence”
ReplyDeletewala sio Sullivan Summit, the dude has been coming to Tz before that. In one of his songs he shot the video in Zanzibar. Sema ndio hivyo watu hawashtukii. Wanapenda hiyo kwa sababu wana enjoy vacation bila usumbufu wa mapaparazi na washabiki na autographs.
ReplyDeleteMichuzi wee huyo jamaa ni mmarekani huku usa wanaume hatuwekeani mikonozzzz nomaaaa.
ReplyDeleteMbona John Legend anakuja bongo mara nyingi tuu!!! hamuangali TV!! hata kwenye CNN huwa wanamuonyesha, huyu jamaa ana run NGO flani ambayo inatoa misaada kwa watoto yatima huko mikoani, tena huwa anakwenda huko vijijini, si Dar tu, hapo yupo transit tu,
ReplyDeleteHuyu michuzi anapenda mikonosss,kuna siku watakubadilikia!!!wakushike chini ya kiuno..shauri lako michuzi....halafu michuzi usilalamike..sawa?wakikushika
ReplyDeletejohn legend mbona tz anakuja kwa sana tu.
ReplyDeletehata nyimbo yake show me shooting yake ni zanzibar....kuanzia vijijini hadi mjini
hiyo mikonosss,wewe usijali jamaa,habadilikiwi mtu hapo hizo ni anga zake michuzi wao wenyewe wana jua kua ndio mjanjawao ndani ya bongo,wasije waka shikwa wao tu
ReplyDeleteKuhusu mikono, sasa kushikwa na kushika ni kupenda tu!! akaaa
ReplyDeleteoya mnapenda ya marekani eh wenzenu wanapenda ya africa sasa. akiwa africa lazima apendelee utamadunia tofauti ya shaggy na john legend. John Legend anakuja kwa misaada ndomana yuko kimya kimya kashafanya video zanzibar ya kuhusu dogo aliezamia kupanda ndege kwenye tairi la ndege kafa angani huko west africa story ya kweli kaifanyia video zanzibar. yupo tanzania sana kwa misaada hata shaggy show hafanyi kwa pesa sana pesa zinaenda kwa waandaaji sababu wanawaomba ili kusaidia yatima sasa siji kama pesa zinafika au lah haya michuzi ibane comment basi.
ReplyDeletehakuja na mai wifu wake?
ReplyDeletenilidhani ni mimi tu nilie-notice juu ya jamaa "mchuzi"kushika watu mabega,NO DISRESPECT MR "mchuzi" that is NO-NO wanaume hatushikani under any circumstances.Una bahati ujakutana na vichaa bado,najua unapenda sana kupiga picha na watu mashuhuri hakuna tatizo kwa hili lakini lazma ujifunze kidogo culture za watu.NO hugging,No long hand shaking just a grip.wakina mama pia,hasa kwenye puplic.hands-off maaan.
ReplyDelete