Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka walipokutana kwenye ukumbi wa mkutano wa ushirikiano wa kibiasha kati ya Uturuki na Afrika unaoendelea katika ukumbi wa Hoteli ya Kempiski mjini Istanbuli Uturuki. Katikati ni Waziri wa Usafiri wa Baharini wa Nchi hiyo Ahmed Rashid.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. BRO MICHUUUUUUUUUUUU!!!

    FANYA UWEZAVYO UTUANIKIE PICHA ZA HARUSI YA RIDHWAN JAKAYA MRISHO KHALFAN KIKWETE ANAYETARAJIWA KUVUTA JIKO KESHO/ KESHO KUTWA.

    NASIKIA SHANGAZI KUNA WANAMUZIKI KAMA WATANO TOFAUTI KWA AJILI YA KUTUMBUIZA NA WAKWERE AKINA SHANGAZI NA MJOMBA KILA MTU ANA HITAJI LAKE, MWINGINE ANATAKA LIVE TARUMBETA, MWINGINE LIVE SEGERE BASI BALAA.

    WASILISHA BABA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...