Hello Everyone!
We just wanted to say thank you for attending our previous event BEACH PARTY THEME NIGHT,
we really appreciate your support.
We hope that you had a fantastic time and that you will continue to support Swahili Sound events.
Take a look at the pictures on our website
Please do comment, leave feed back or rate the photos!!!
And now for the news you've all been waiting for....
our next BIG PARTY!!!!
We hope to see you at our LIMBO DANCE PARTY NIGHT on the 24th Aug Sun Bank Holiday weekend in Cardiff(Club Inncognito).
Playing African music all night long. Free entry as usual and be sure to be wearing your dancing gear!!
Open from 8 till 2 in the morning.
Satisfaction Guaranteed!
Swahili Sound, a company specialising in entertaining -Specialist in African Music
we are a mobile dj so available for hire anywhere in the uk.
thank you
swahili sound


Mimi naomba kuuliza tafsiri au maana halisi ya neno "Beach" party. mimi nilidhani ni party inayofanyika Beach, au nimekosea? Maana kila nikiangalia hizi picha hata kwenye swahili sound website yao sioni kama kuna dalili ya beach au japo hata swimming pool angalau labda ningeridhika. Sijui labda nimepatwa na makeng'eza.
ReplyDeleteJamani lugha za watu hizo...Msaada kwenye tutaz.
Duh...hayo ndio mambo kule ulaya au siyo?Chamlevi kweli huliwa na mgema,kwani vijisenti mlivyokujisanyia baada ya kuosha vyombo na kubeba maboksi...ndio zinajiishia kwa wauza kimpumu na kangaza za kizungu!!!
ReplyDeleteAhh...bora kwetu at least ninakufikia kule msikiti wa mmanyema!
Labda hao swahili sound walimaanisha maji ya bomba la chooni au bafu ndio wakadhani ni beach sioni dalili za bahari wala swimming pool hapo. Jitahidini kuweka vitu na maana halisi
ReplyDeleteKweli waungwana,haya ni mazungumzo baada ya habari,beach party hata beach haionekani,wengine ndani ya suti na majaketi ya baridi na wala hakuna vijivazi vya ufukweni,hoyaaa hapa bongo tuko mbele zaidi yenu, tunaomba mrejee nyumbani tuu au nyinyi ni wale kijijini sitimbi moja kwa moja mtoni hata mjini dar hamjafika????? mchapakazi.
ReplyDeleteMimi nilikuwa nataka kuuliza samahani lkn kama nitakuwa nimekosea, HAWA NI WABONGO AU? Mbona wakowako tu hakuna ule ubongo kabisa kwenye picha zao.
ReplyDeleteHalafu nyie wachangiaji huko juu msiwe wabishi tu jamaa amesema ni Beach Party THEME sijui hili neno THEME tunalielewaje na kwenye vijipicha vyao pale umeona wameweka picha inayoonyesha walipamba kwa vumbi la bahari na toys, sasa unachoouliza nini, Ufahamu wako hapa tunamashaka nao, Mtazamo tu lkn
Hawa jamaa wachovu kweli na ukiangalia hayo maua waliovaa utafikiri wametoka mererani kuchimba Tanzanite,mmbongo ni mmbongo tu hata umpeleke wapi tabia ni zilezile.....haya bwana maboksi mema!!
ReplyDeleteMmmmmmm! hawa ni wa-BONGO kweli weusi kama MKAA utazani wanatoka GAMBIA, au Majaluo nini ya Mara, wachangiaji hapo juu wote wako sawa, vijipesa wanavyopata kwa kuogesha wazee badala ya kuvileta BONGO kununua angalau kijishamba basi wanafanya vijipai eti wapige picha walutelee, sisi hatuli picha, maisha ni mafupi sana kesho tu mtakuwa wazee, mtarudi chini ya mwambe, shauri zenu, hayo mambo ya wenyeji kwa vile huko ni kwao hawana kwa kwenda.
ReplyDeleteKama wa haiti vile...lol...hawa jirani zetu wameni shavu kidogo msiwe hivyo jamani. Yaani hamuwezi kujua kuwa shizi sura za wapi?????
ReplyDeletekabla hata hujaangalia picha ungetakiwa kujua huyu ni mtu wa wapi kaweka hilo tangazo.
ReplyDeleteBrother/sister zetu hasa hawa wanaoandaa party wakishaishi majuu wanakuaga wanajidai kuandika ung'eng'e wa kuiga mabitoz na inakua badala ya kuleta baana inakua utumbo. Lakini hawa ingawaje ni tangazo la party lakini linaeleweka
washkaji mbona mnaponda sana, mtu akiwa majuu akianza kubailika mnaanza ohh jamaa siku hizi anajidai, mapozi kibao. na haojamaa wanaonekana kuwa na uhalisi wa kibongo jamaa tena wanaponda eti mbona weusi, hawajabadilika japo wapo majuu.. acheni hizo. waacheni kama walivyo kama hamna cha maana cha kuchangia. Mimi naona wapo poa tu nawanatuwakilisaha vyema tu pande hiyo walipo
ReplyDeleteAise Michuzi tunakushukuru sana kwa kuweka mambo yetu kwenye blog yako.asante sana. wabongo tuungane tusitengane.shukran michuzi.
ReplyDelete