web site ya swahilinet inakukaribisha katika:
1) forum mpya iliyo na kila kitu kuanzia biashara mapishi mashahiri na mengineo mengi kama matangazo ya kazi angalia sasa http://www.swahilinet.com/forum/index.php
2)Tangazo ya bidhaa zako bure kama wewe ni muuzaji au tafuta bidhaa kama wewe ni mnunuzi na wiki hii kuna matangazo tele angalia http://www.swahilinet.com/home/index.php
3)angalia matakazo ya ajira katika hotjob
4) Unataka kufundisha au kusoma kuna huduma ya shule ya internet ikiwa na vifaa vyote utakavyoitaji ili kusoma au kufundisha kwa kupita internet angalia sasa
5) Radio/TV: unataka kusikiliza live radio toka East Africa swahilinet imeanza huduma hii unaweza kusikiliza na kuangalia TV bure http://www.swahilinet.com/radio-video/index.php-
Radio: Je una kituo cha Radio na ungependa radio yako ipatikane katika swahilinet tuandikie
Web: je unataka kutengeneza web au unatafuta program yeyote iliyokosekana Tanzania. Tuandikie ili tukusaidie -
Yellow page ; weke address ya ofisi yako na huduma unayotoa katika swahilinet ili kuongeza wateja angalia
Swahilinet ina huduma nyingine nyingi kama evenet na nyinginezo tembelea web yetu sasa
Feedback: Tumetengeneza Swahilinet ili ikusaidie katika shukhuri zako, kama una mawazo yoyote unaweza kuwasiliana nasi


michuzi unajitahidi sana kuwaunganisha raia kwa mawasaliano haya ya glob, na raia wanahamasika sana kufungua mitandao tofouti, kwa kasi mpya ana ari mpya, lakini at least washauri wakiwa wanaomba kupewa shavu na wee mkuu wa glob tz basi walau wawe kweli wameweka vitu vinavyoeleweka, sasa kwa mfano hii kitu hakuna hata kimoja kinafanya kazi, majigambo kibwena uwajibikaji zero, au labda mie ndo sijui ku click hii pc!!! kuweni serious kidogo wadau!
ReplyDeleteSasa mbona vitu havina bei? Nimekimbilia kuangalia computer mara naona hamna bei. Au ni kwa mwendo wa "bei ni maelewano". That is sad....Wekeni matangazo na bei bwana hii miyeyusho wengine hatujazoea..Mnaogopa ushindani....????? Wabongo bwana.....
ReplyDeleteSuala si bei au kutofunguka tu, nadhani kuna kitu fulani tatizo, Wabongo tuna harak aya kuzindua kitu, sasa ona ni ishu ya swahilinet ila katika lugha hakuna kiswahili, unapewa machanguo ya kihindi, kiitaliano nk..kiswahili kimya...tufanye kazi hakuna haja ya kukimbilia kuzindua, kwa upande mwingine hongereni...ndio kujikwamua na tupo pamoja!
ReplyDelete