Mwalimu mkuu wa Sunrise Primary and Nursery School iliyoko Mikocheni, Dar, akimkaribisha mgeni rasmi pamoja na wazazi jana kwenye mahafali ya shule hiyo iliyoko karibu na barabara ya Bagamoyo rodi jirani ya hospitali ya AAR
wanafunzi wa Sunrise Primary and Nursery School ya Mikocheni katika mahafali
wahitimu wakisubiri tunondozzzz twao

wazazi, ndugu, jamaa na marafiki walikuwepo kwa wingi kwenye mahafali hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Max M. Vipi mtoto wako na wewe kapata tunondozz nini??hongera

    ReplyDelete
  2. Nawakumbusha wazazi kuwalea watoto wao hao kwenye maadili ya kibinaadamu ili jua lisijechwea kabla ya muda wake kufika.

    ReplyDelete
  3. Inafurahisha sana ukiona jinsi wazazi siku hizi boongo wanavyojifunga mkanda ili watoto wao wapate elimu....Miaka ijayo watatukoma bongo


    No more mimi maimuan siku hizi.....

    ReplyDelete
  4. mkakati wangu ni kuhakikisha elimu ya juu inatolewa na walimu wenye moyo kama walimu wa shule ya msingi . wanaofurahia kufaulu kwawanafunzi sio hawa wa sasa wanaofurahia kufeli kwa wanafunzi wao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...