Home
Unlabelled
voda yaendelea kumwaga misaada iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu dada anapata overexposure. Tutamchoka sasa hivi.
ReplyDeletewe anonymous una maana gani dada anapata over exposure? Yeye ni communication manager, exposure is part the the job description. Sasa wewe unataka uwe anajificha??? Au asionekane? Halafu nini eti utamchoka?? WTF? Unaelewa kitu chochote kuhusu marketing communications wewe? Au kwa vile ni mtoto wa Makamba ndo macho yanakuvimba hivyo?
ReplyDeletewenye wao watakusikia...ni wakali hao! lol
ReplyDeleteHaya mambo bwana. Okay, bwana, endeleeni, kila la kheri.
ReplyDeleteHII PICHA INAONEKANA LUKUVI WALA HAUSIKI HAPO, ANAJILAZIMISHA TU KUWEPO KWA VILE NI MKOA WAKE LAKINI JK WALA HAONYESHI KAMA ANA MAPANGO NAE,
ReplyDeleteOverexposure ni overexposure tu. Haiitaji more definition. Marketeers wa nchi zilizoendelea wanafahamu madhara ya overexposure. Kila siku unasikia, unawaona wakati vitu vingine ni very trivia. Wangewaachia watu wengine wafanye. Do grand, be grand not trivia stuff. Hata mimi huo msaada naweza ku utoa. What is 30m for Vodacom? Halafu, there are more people in communication than just the manager. Please. Yatakuja ya Britney Spears - total meltdown.
ReplyDelete