dj mtimkubwa (shoto) na mwenzie wakifanya mambo tampere
wadau wakidumisha mila kwa ngoma za nyumbani
mwandaaji wa tamasha akihutubia
maonesho ya vitu vya bongo yalifana sana
wadau ambao ndio walioandaa hafla hiyo
waalikwa wakifurahia hafla
kinadada wa kifini wakiyarudi mangoma ya kibongo bila kelele wala mikwaruzo
NDG MICHUZI,


MIMI NI MDAU NINAYEISHI SWEDEN NAPENDA KUTUMA PICHA ZA BONGO FEST EVENTS ILIYOFANYIKA HUKO TAMPERE FINLAND HACHE KTK MWEZI WA SABA.

NILIFURAHISHWA SANA NA JITIHADA ZA WATANZANIA WANAOISHI FINLAND HASA MWANDAAJI WA MAONYESHO HAYO AMBAYO HUWA YAKIFANYIKA KILA MWAKA KTK MJI WA TAMPERE FINLAND.

PONGEZI ZIMFIKIE MWANDAAJI WA MAONYESHO HAYO NDG MENARD PAMOJA NA KAMATI YAKE<>

MDAU PETER

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hongera kutuma picha.

    lakini libeneke lenyewe haliitwi "BONGO FEST EVENT".

    Ili kuepuka kukang'anya mambo shuguli jina lake ni "FEST AFRIKA EVENT"

    Karibu tena tampere bro hongera kwa kutuma mtundiko mzuri

    ReplyDelete
  2. hongera kaka!!bora wewe kidogo unajitahidi kuitangaza nchi kwa kuandaa matamasha kama hayo ubalikiwe.watu wengine wakifika ulaya wanajifanya sio watanzania kama wengi UK wanajifanya wajamaica na viingereza vyao vya darasa la tatu.

    ReplyDelete
  3. Huyo Tungaraza Mzushi, yeye na udijei wapi na wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...