wafanyakazi wa tanzania standard newspapers wachapaji wa daily news na habari leo wakisherehekea kumeremeta kwa mwenzao albinus na goodlove wikiendi hii hapa dar
mdau albinus na mai waifu wake goodlove wakionesha nondozzz zao za ndoa baada ya kufanya kweli jumamosi. hongera wameremetaji kwa kuamua jambo la mbolea

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...