Yule mwanamuziki wa kizazi kipya anayetikisa anga za muziki huko Afrika, Ulaya na hata hapa Marekani anatarajiwa kudhihirisha usemi huo hapa Atlanta siku ya Jumamosi, tarehe 20 mwezi huu. Akitarajiwa kuperfom vibao vyake vikali kama Cindelella,Sikuoni,Sabrina,Njiwa,Nichumu,Nakshi, Wajuanoma nk.
Pia mwanabongo flava huyo amehaidi kushusha vibao vyake vipya kabisa ambavyo hajawahi kuvitoa hewani. Show hii pekee katika pande hizi za Kusini Mashariki ya Marekani inatarajiwa kukusanya umati mzito wa wana Afrika Mashariki kutoka katika majimbo ya karibu ya Alabama, Tennessee, Frorida na hata South Carolina.
Mratibu mkuu wa ujio huo amesema:- Kufika kwako mapema ndio salama yako ya kumdeku bingwa huyo maana mtu zitakuwa za kumwaga hasa mamanzi ambao wao na Ali Kiba ni dam dam.
Pia siku hiyo kutakuwa na mpambano wa soka kati ya Tanzanite Fc na Jamhuri Fc kusindikiza mtarumbe huo.
Show imepangwa kufanyika katika ukumbi wa
Travelodge (Former Ramada Inn)
@I-75. 2767 Windy Hill Rd,
Marietta. Ga 30067.
Kuanzia saa mbili usiku.
Kwa taarifa zaidi please usikose kuwasiliana na wafuatao:
Hadji Helper(helpers10 Ent. Inc.) 404-477-7766.
Moto(Shakaentertainment.blogspot.com)404-668-2337.
Moto(Shakaentertainment.blogspot.com)404-668-2337.
Ujio huu umletwa kwenu kwa hisani kubwa ya JFC Entertainment, Helpers10 Entertainment na Shaka Entertainment.
Usingoje kusimuliwa njoo ujionee mwenyewe mambo yaliyomtoa demu Kigoma ile kufika Dar watu washachukua zigo ikabidi abakie Dar maana kurudi Kigoma hawezi.
Cindelellaaaa!!
Hey let's meet there and have some fun!


dogo mfungo vipi au ndio dola imelaaniwa! au tasema unaperform usiku IoI wenzio wanastopisha kila kitu.Misimamo mfuu hiyo ishallah usinywee yote basi home wanakusaidi ufunga
ReplyDeletesikio la kufa halisikii dawa, huyu jamaa nadhani hata kusoma hizi comments hazisomi, mimi kwa upande wangu namkumbusha tena brother Michuzi nae awache kwa kipindi hiki kuwatangazia, watu wengi wanapata taarifa za maonyesho yao katika blog hii, sasa kaka michuzi hapo si nawe unasaidia kidogo?
ReplyDeleteHivi nyie mnaomlalamikia alikiba kutafuta riziki yake wakati huu wa mfungo wa ramadhan hamukumbuki hii ni ajira yake? Mbona Nyie mnafanya kazi kwenye supermarket na mnabeba kiti moto? Acheni ujinga hata restaurant za waisilamu ziko wazi, acheni kumsakama fateni yenu.
ReplyDeleteacheni ubatili. mmeifanya hii blog ya waislamu? au jamii ni waislamu tu.
ReplyDeletekaka michuzi anajua kazi yake.
Kufanya kazi ya haki ni sala.Kwa hiyo hawa watu wanosema kijana huyu aache maonyesho wakati ni kazi yake,mi nashindwa kuwaelewa.Kwani nyie mumeacha kazi zenu katika mwezi huu mtukufu?.Achane tafsiri mbovu za dini.Halafu kama wewe ni muislamu,usifikiri watu wote ni waislamu,na kwa waislamu sio wote wanafunga.Mwarabu kawaweza kweli.Pamoja na kuwauza babu zenu huko Bagamoyo na Zanzibar,bado munawasujudu hivi?.Dini hizi zimeletwa tu na watu wenye rangi nyeupe kwa makusudi yao wanayoyajua yenye nia mbaya ingawa kwetu sasa ni mema.Kila la kheri katika mfungo wa Ramadhani kwa waliofunga.
ReplyDeletewewe anonymous wa 3:52 pm nawe hukumbuki kama ajira hiyo hairuhusiwi kwa waisilamu? sio wakati wa ramadhani tu ila ni daima!
ReplyDeleteNawe anonymous wa 4:48 hatuifanyi hii blog ya jamii ya waislamu, ila kila mmoja ana haki ya kutowa maoni yake kwa issue mbali mbali. Ni kwa bahati tu hii issue inawagusa zaidi waisilamu na wanajaribu kuwaasa wenziwao, usianze juleta comments za kutaka kuleta mvutano wa dini hapa!!
Kwani mmelazimishwa kwenda?? Makelele kibao mwezi huu ila miezi mingine mko mstari wa mbele kufanya vitu vya ajabu. Msiwe vinyonga, tendendeni haya yote Jan hadi Jan. Kijana wa watu anatafuta maisha mnataka akaibe? Mnaoweza kwenda fikeni salama tusioweza tutasubiri safari ijayo. Mimi sioni big deal nini. Tusiwe kama mafarisayo kha!!!
ReplyDeleteWatu wengine sijui mna matatizo gani..Kwani waislam tu ndo wanaruhusiwa kuingia kwenye show za Kiba? We kama unajijua umefunga kaa ndani waache wakristo na wasiokuwa na dini wajiachie kwenye show.
ReplyDeleteBy the way thanks anon September 11, 2008 6:09 PM, kuna watu wengine wame adapt dini alaf wanataka kujifanya waijua kuliko hata waarabu wenyewe! Ndo maana wabongo hatuendelei, dogo shughuli yake ni mziki wewe unataka akae mwezi mzima bila kufanya kazi wakati wewe kila siku unaamka unaenda kubeba boksi.
Grow up!
Riziki ya Ali Kiba aachiwe Ali Kiba.wengine mnaolialia kuhusu Mfungo,mkishafuturu tu haooo mnaenda kupiga/kupingwa mikasi vichochoroni.
ReplyDeleteWengine wanafunga lkn still can't stop Zinaa bila kuoa,kiti moto,ufisadi wa vijisenti(teh teh) and bunch of some that can't be said.
Mjali Mora kwa Miezi yote 12.
Nadhani mtata hapo upo ktk hilo jina la Kiislam ndo maana raia wema humu wameshika hatamu.Angekuwa anaitwa "Majuto Mpendakufa" nadhani hakuna ambaye angetoa MACHO kuhusu mwezi mtukufu.
Matter of fact,ingekuwa busara kama mngewapigia kelele Kampuni ya Bia wafunge kiwanda kwa muda.Au nendeni uswahili mkawaeleze wale wapika pombe za kienyeji wauchune kwanza hahaha.Nite Clubsnazo vp?Sebene Je?
tafadhali WADAU, don't FUSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huu ujinga wa kutokuujua Uislam ni balaa kubwa. Uislam si dini ya waarabu ni dini ya wanadamu wote. watu waliotaka kuuwa uislamu walikuwa wa mwanzo ni waarabu. Someni quran labda mtafahamu. Vinginevyo jifurahisheni na vistarehe vyenu vya muda na kwa M/Mungu mtarejea na kujibu ujeuri wenu. So long you have been warned , its up to you to heed the warning or to ignore it.
ReplyDeleteMdau
Atlanta GA - USA