Home
Unlabelled
buriani atembelea vikundi vya mazingira zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro. Michuzi,rekebisha jina la Mheshimiwa. Ni Dr.Batilda Burhani.
ReplyDeleteSio kobe ni kasa
ReplyDeleteAnony Sept 28 11:00pm
ReplyDeleteMichu yuko sawa ni Buriani
Jamani huyu Batilda Burhani anafanana na mama Salma Kikwete, am I right? hebu muangalieni vizuri. Kidogo inanipa mawazo hii kitu... ama?
ReplyDeleteWADAU MUNAOELEWA,
ReplyDeleteNAOMBA KUULIZA IKIWA HUYU MAMA BURIANI AMEOLEWA AMA YUKO SINGLE?
NAULIZA KWA NIA SAFI JAMANI, MUSINITUPIE MADONGO.
kobe au kasa???ndo nini??tortoise je?
ReplyDeleteila kweli kafanana na mama kikwete labda ni ndugu hawa mana hii serikali imejaa undugu na ushosti nk...me pia uwa najiuliza sana ivi awa mawaziri wanawake mboni sijawai sikia waume zao ngaa wanatangazwa??au basi waandikwe "Mrs"...ila wanaume kwa kutojiamin asa mwanamke akiwa matawi km ivi???sijui matatizo gani apa??ila awa viumbe wanawake huwa hawana shida apa utakuta anae jamaa wa kawaiiida basi
huyo mama kaolewa na mzanzibari na akabadilishwa na dini ndiyo maana katikati kuna jina salha na ushungi kavalishwa, mzanzibari hataki mchezo kamuweka ndani toto la kimasai.
ReplyDeleteHuyo mama ameolewa ni mke wa mtu na wala hafanani na mama Salma Kikwete, yeye ni muarusha wa kaskazini mwa Tanzania mama Salma ni wa kusini mwa Tanzania. Na jina lake jamani ni Dk. Batilda Buriani (ni Phd holder sio Dakitari wa maradhi).
ReplyDeleteNakubaliana na jamaa hapo juu, huyu hasa ni kasa sio kobe. Kasa aishi zaidi baharini , kobe ni wa nchi kavu na sijui kama aliwa especially yule asiyefunga ramadhan
ReplyDeleteWakatabahu
Ni ubinafsi au udini kukaa watu kadhaa wakichambua intimate details za watu kama vile dini. Juweni kuna uhuru.
ReplyDeleteHaya weye anon wa 29, 1.29 pm tutajie au tufafanulie huo undugu wa Dr. Batilda Buriani Muarusha wa Arusha na Mama Salma Kikwete wa Lindi, ukoje huo undugu wao maana na sie tupate kuelewa! Watu wengine huwa wana wivu wa ajabu kabisa huyo mama na PhD yake unamuona hafai kuongoza mpaka abebwe kwa mbeleko? Au kwa sababu hapo kavaa ushungi basi hawezi kazi kwa kuwa ni mwanamke wa kiislam? Watu wengine wa ajabu kabisa, acheni wivu usiokuwa na kichwa wala miguu, kama mwanamke shule yake imepanda haijalishi ni dini gani na amepata nafasi ya uongozi chuki ya nini? Subiri na wewe uwe Raisi uweke shangazi zako, shoga zako, dada zako, wajomba, kaka, na wengineo kama ni rahisi kama unavyofikiria. AU ilitakiwa serikali iwe na viongozi wa kikiristo peke yake ndio ionekane kuwa hao viongozi hawakupendelewa! Sasa inabid mwiko tuuite mwiko wala sio kijiko cha mti, acheni roho zenu za kwanini na tabia zenu za udini.
ReplyDelete