wadau wakionesha utamaduni wa nyumbani kwenye edmonoton heritage day
mdau akionesha namna libeneke linavyochezwa
wadau wa edmonton kwenye hafla hiyokila mwaka majira ya joto mataifa mbali mbali hupata fursa ya kuonyesha utamaduni wao wa jadi kwa ngoma na vyakula hapa edmonton-canada.
Tanzania nayo iko mbele kutangaza nchi yao, katika picha vijana wa kitanzania wakionekana kudumisha mila katika siku hii ya heritage days kwa ngoma, na mabanda nyuma yao kwa vyakula na bidhaa zilizo tengenezwa Tanzania yote hayo huandaliwa na jumuia ya hapa Edmonton.
Mdau Edmonton


nimefurahi sana kuwaona akina dada wenzangu wa Edmonton wakionyesha umahiri wao wa kusakata rumba,nawaomba watanzania wenzangu tunaoishi Calgary mwakani na sisi tujitahidi kuonyesha utamaduni wa nyumbani kwenye African Day.
ReplyDeleteGood job
ReplyDeleteWatoto wanajiita "Warembo dancers"...mambo yao mazuri kwa kwenda mbele.
ReplyDeletePicha ya tatu (kulia), huyo dada ndio utamaduni wa Mtanzania kuvaa hivyo? Wadau nielewesheni.
ReplyDeleteAnon wa 4 unashangaza sana.Kwani kwa maisha yako yote hujawahi kuona kina dada wanavaa khanga/vitenge rubega au zile za kuzungushia shingoni na zinakuwa fupi zinazoishia juu ya magoti?
ReplyDeleteBasi kama hujawahi kuona utakuwa ni mtoto uliyezaliwa juzijuzi 1990s na umeishi Getini.Tuulize sisi watu wa uswazi tuliokuwa kipindi mabasi ya KAMATA,Ugali wa Yanga,maduka ya ushirika tutakuhabarisha.Fala wewe.
Mbigiri, usitukumbushe ugali wa yanga! tena ule mchungu! mi mpaka leo sitamani ugali sababu nkila hukumbuka enzi zilee, na nkilala nnamuota mtikila na sera zake za magabacholi!
ReplyDeletewabongo mnafanya sana vizuri kuonyesha utamaduni wenu huko ugenini,mimi nina ombi moja tuu ninamtafuta kijana mmoja anaishi huko edmonton anaitwa TITO MARO naomba kama kuna mtu yeyote anayeweza kunipa namba yake au email add yake nitashukuru sana, mail yangu ni fisher1963@live.com,
ReplyDeletewarembo group OYEEEE,namna hiyo vijana endeleeni na moyo huohuo ila nawaombeni pia siku nyingine mnae kanga na mpige picha kwa pozi kama hiyo picha ya tatu muwamalize wazungu na hao wazungu weusi wanaokashifu mila na kusahau ya kwao.pia ikiwezekana mngechanganyisha na kaka zenu.
ReplyDelete